Dah nililala na njaaa jana tutafanya nn na timu ipo kwenye damu mapenzi haya ya Mpira! Sorry God naanza kutudisha Mapenzi kwa Mungu kuliko mipira.Leo Wasiwasi wangu Ni Gameiro jamaa mbayaaa! na Klopp kutoshinda Last 4 Finals, LFC leo ushindi muhimu LFC YNWA!
Dogo Enzo
Lile Timu letu la mieleka na rugby linacheza CL au Europa msimu ujao?
Kule Arsenal wapo akina un-stable-negro wanamtaka Klopp ili awape motisha wachezaji.
Ukishangaa ya stable-negro unayaona ya majogoo ya malafyale.
Dogo Enzo
Lile Timu letu la mieleka na rugby linacheza CL au Europa msimu ujao?
Kule Arsenal wapo akina un-stable-negro wanamtaka Klopp ili awape motisha wachezaji.
Ukishangaa ya stable-negro unayaona ya majogoo ya malafyale.
Yaani jana nimelala Mlango mkubwa nimesahau kufunga na wa gheto cjafunga dahhh hatari tupu......mm ningekuepo kule Ulaya leo ningepita mlangoni kumgongea kila mchezaji wetu asee kumuuliza hv ulikua na maana gani kucheza vile ??Kila nyumba itatoa maiti,tunatofautiana muda tu!
YNWA.
Kubeba Vikombe vitatu ni makalio?Tunajipanga kwa msimu ujao, tutabeba vikombe vitatu! Hongeren arsenal kwa kuchukua ubingwa wenu big4
Looserfools?mnafikiri kubeba EUROPA ni makalio, useme kila mtu ana yake.
#Looserfull
wachana na wajinga wengine Europa na CL hawajui hata inabebwa vipi.Kubeba Vikombe vitatu ni makalio?
Wewe dogo kituko. Hapa umeandika nini?
Mkijitahidi sana msimu ujao, mtacheza Europa league.
Looserfools?
Hahahhahhahaha nimecheka mpka machozi......Hamna mtani mimi mwanamke bana Nina roho ya huruma....from the bottom of my heart niliwaonea sana huruma......[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji23] [emoji23]Duh [emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka kuwakuta huku wazee alafu mmeongozana kama kawa kwa jirani ila nyie mnafurahia jirani kafiwa hapa ni unoko unoko tu maana ukikausha siku ukifiwa utajuta,tar 21 may saa 1:30 nitakua kibarazani kwenu maana machale yananipa imani kua mnafiwa pale kwenu alafu yule dada yenu haji uku nahisi ni jukwaa la shemeji zake.
You Will Never Win Anything [emoji12][emoji12]
Umejitahid kuongea kama shabiki
Ahsante everlenk, msimu ujao tutafanya vizuri tuPoleni sana bandugu zangu kweli ng'ombe wa maskini hazai akizaa ni dume.....poleni may be next season mtamake....... Ed n Edd nEddy pole sana best yangu daah jana hadi nimekuonea huruma kuingia humu, Malafyale pole sana nkamu , pole sana best mak89 Pazi wembeee Manga ML na marafiki zangu wote humu na wanazi wote wa LFC......You never walk alone.