Hivi kwenye ligi liver imemaliza ya ngapi?? Au mwakani wao ni kama chelsea?? Hamna hata futuhi??
Daaah
Eb turud kwetu bhana
Kelele zangu kuhusu EPL itabid nizitulize kwanza
Teh teh kwa hyo hvi ndo imekaa sawa ee!!?Ukiwa mgonjwa alafu jirani mwenye kelele anapiga ka harusi ugonjwa unazidi aisee
inauma
Awa liva wana mfanya lvg aonekane amepata mafanikio makubwa msimu huu
Wameniangusha
Bas mkuu, hakuna namna tenaNdg huo ndio kweli ambao ni mgumu kuumeza, huyo mzee kama namuona vile akizunguka na timu kwenye pre-season.
Loser will always be a loser broh, klapp sasa kapoteza 5 finals in a row, MLITEGEMEA JIPYA HAPOO???Inauma sana, pole!! Toka on the threshold of qualifying for UCL to missing a spot in europa league, that's surely a pain in the urse!!
Mzee naona leo tumekuja kuchekea kwa jiraniLoser will always be a loser broh, klapp sasa kapoteza 5 finals in a row, MLITEGEMEA JIPYA HAPOO???
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Looserpool wameonja msisimko na CokeLoser will always be a loser broh, klapp sasa kapoteza 5 finals in a row, MLITEGEMEA JIPYA HAPOO???
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mwanzo mzuri, 5 defeats in a row WITH BRENDAN ROGER'S team!!Loser will always be a loser broh, klapp sasa kapoteza 5 finals in a row, MLITEGEMEA JIPYA HAPOO???
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Acha tufurahi tu chief, I hate Liverpool from deep down of my heartMzee naona leo tumekuja kuchekea kwa jirani
Huu mchezo hauhitaji hasira