Acha uoga wako tuta kupiga viwili tu (2 o'clock)Analysis:
sipati picha tutafungwa magoli mangapi leo maana kama kawaida yake Hiddink lazima awaweke Mikel na Matic pamoja hivyo kupunguza attacking power yetu.
Yani niko bize nakusanya data za mechi ambazo Mikel na Matic wamecheza pamoja tukashinda na mpaka sasa sijapata.
Katika defensive midfielder ambao huwa wananiacha hoi ni pamoja na mikel huyo mtu akiwa uwanjani timu zote hazichezi siyo yake wala upinzaniAnalysis:
sipati picha tutafungwa magoli mangapi leo maana kama kawaida yake Hiddink lazima awaweke Mikel na Matic pamoja hivyo kupunguza attacking power yetu.
Yani niko bize nakusanya data za mechi ambazo Mikel na Matic wamecheza pamoja tukashinda na mpaka sasa sijapata.
Hahaaaaa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]What!! kumbe nimepost huku kwenye jukwaa la mafioso!????
na Mie nilihisi umekosea hehehe umechanganyikiwa na vipigo vya EPL mkuu usijali leo 2-0 tu YNWA!What!! kumbe nimepost huku kwenye jukwaa la mafioso!????
Kazana baba...naona unatoa show peke yakoHalf time,Can kakosa goli. Tujipange kipindi cha pili.
YNWA
Kazana baba...naona unatoa show peke yako