siku ile Emre Can kaumia kwenye game ya Dortmund akatolewa nje, Lakini baadaye kidogo alikimbia 50 yards kushangilia goal la Lovren na kina Coutinho kwenye corner kule..[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] glass boy nae wanamfanyia drug test?, ila ukiangalia ile performance na Swansea hata mimi ningewapima wote hasa Emre Can eti alikuwa majeruhi anarudi kwa performance ile siyo mzito
Sent from my K019 using JamiiForums mobile app
Hongereni sana kwa kuingia Fainali ,nawatakia kila la heri mje na kombe
Teeehe teeehe ..... asante sana..... leo niwaombee na nyie MtaniWeeee haya ndo maana tunakupaga vidonge [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ......hongereni sana best.
Teeèehe teeehe siyo kwa roho hiyo....... nimekuwekea kochi jipya uje maana siku hiyo everlenk atakuepo piaNilikuwa nataka nikupe pongezi ila nimesitisha. Wewe sio wakutufanyia hivi. Hahahah
Nilikua nasubiri hii comment yako hahaaa firmino kama alikuwa anatutegea hiviSiku Firmino akiamua kustep-up kila kitu kinabadilika..baada ya ile Turn sidhan kama Soldado atataka kuja tena kucheza Anfield..
Migs did a great save jana kwenye 4 mntsThere's something about Mignolet, he's been a ROCK kwenye EL, lakini kwenye League sijui kwanini anazingua...
Migs anacheza vizuri sana kwenye EL to be honest.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] basi nitakuja kwenuHahaha kwenu siji tena. Nasubiri mwali wa FA tu
Hatutaki wageni sasa hivi. Mpaka tuchukue FA na tuingie top 4 hahah[emoji2] [emoji2] [emoji2] basi nitakuja kwenu
Your magician, cant believe u predicted thisAll in All,...We will knock them out,by 3-1 in 90Minutes
YNWA
Hahaaaa sawa mkuuHatutaki wageni sasa hivi. Mpaka tuchukue FA na tuingie top 4 hahah
HahahahHahaaaa sawa mkuu
Mkuu ligi imeisha hii lakini bado tunaombeana mabaya tuDroo inatosha basi
Bado hii mechi 38 ndo ligi itakuwa imeishaMkuu ligi imeisha hii lakini bado tunaombeana mabaya tu