Mr Antidote
JF-Expert Member
- Jan 11, 2015
- 955
- 1,315
Yeah ni kweli mkuu lkn hii sio km ligi za kawaida hii ni ligi ya mabingwa so tuondoe ukubwa na udogo......ingekua ni ligi ya kawaida unacheza na kila timu ningekuunga mkono 100%.Nah, tumetoka kwenye game ngumu, so ilikuwa ni muhimu kurelieve Pressure kidogo.
SD ni wagumu sana, na ukichukulia Emre can hatakuwepo, so ingekuwa tabu kidogo..Yeah ni kweli mkuu lkn hii sio km ligi za kawaida hii ni ligi ya mabingwa so tuondoe ukubwa na udogo......ingekua ni ligi ya kawaida unacheza na kila timu ningekuunga mkono 100%.
Augsburg, Man U, Dortmund.....bado una wasiwasi kwa tuliisambaratisha hiyo chain?SD ni wagumu sana, na ukichukulia Emre can hatakuwepo, so ingekuwa tabu kidogo..
Millie should play WIDE siyo katikati.Emre can kaumia hatokuwepo kwa wiki kadhaa,allen leo ataanza au lucas...milner jembe lile halikati tamaa
Emre Can ndo roho ya kiungo cha LFC, kutokuwepo kwake ni big blow, SD ARE BETTER TEAM than Augsburg na utd..Augsburg, Man U, Dortmund.....bado una wasiwasi kwa tuliisambaratisha hiyo chain?
Worry out abt Can we ve Lucas n Welsh pirlo (allen) can still make it.....although nakiri ni pigo.....Let's fear no one.... let's hope the best for us.....we re liverpoll....
Better in 2 legs game than a final.....we ve only one final....bt we ve 2 games in semi so we would ve a chance to correct mistake if could happen in a first game.......Emre Can ndo roho ya kiungo cha LFC, kutokuwepo kwake ni big blow, SD ARE BETTER TEAM than Augsburg na utd..
ni vizuri tukikutana nao FINAL..siyo kwenye hizi 2 legs games.
Final ni easy kuliko 2 legs man..umeona game ya Dortmund ilivyokuwa bro..kule kwao ingeisha 1-1 tungeenda extra time then pens..but si uliona 2nd league ilivyokuwa ya moto?? heat attack game mpaka mwisho..Better in 2 legs game than a final.....we ve only one final....bt we ve 2 games in semi so we would ve a chance to correct mistake if could happen in a first game.......
Thn abt can, he's already out so we do not need to focus on him no matter hw re we going to miss him.....Don't count what u ve already lost count what u ve remained with!!
me naona bora aanze leo Aisee..Kutokuwepo kwa can ni tatizo sana,ukizingatia allen akianza huwa hachezi vizur km akiingia km sub
Hasa lile goli la pili la Dortmund Sakho alifanya utumbo alipoacha kuhit ball pale pale akataka kugeuka ndo ikawa kwisha habari yakeSio siri hatuna full backs wala center backs. Kule nyuma bado ni Majanga tu kama Barcelona. Huyu Mignolet nae msimu ujao akae bench
Hata mimi nashangaa watoto wanawasumbua kweliDaadek yani hivi vitim vinasumbua kumbe dawayake ni ndogo hivi