Umeona lile goli la kwanza la saints Sakho alifanya kucover nafasi ya skrtel ili kuokoa jahazi ila wapiNdio manaana yake hatulii Na yeye ndio hajui kusimama line back 4 akichemsha anasababisha wote nyuma wapate tabu, kaniuzi ILA Klopp naye Leo kachemsha upangaji na usimamizi WA timu. Bora Ligi iishe Tu! Skertel kazi kukimbia Na kuvuta mashati Na ndio anasababisha mpaka Sakho anakuwa mbovu wakali game ngapi alitulia.
I blame Klopp today for his poor substitution,... why he enters Skrtel with no reason,...
where is milner
why he doesn't start Henderson....
He's real disaster ... klopp must sell him like BR did to Agger too stupidLeo ndo imejulikana shida kwenye backline yetu siyo Lovren wala Sakho ni skrtel. Leo kaingia tu na kutoa penati all 3 goals he was at fault.
I hope next mechi atakuwa kwenye bench tu haiwezikani uingie wewe tu 45 minutes tunapigwa 3
Endelea kuwa busy tu mkuuNipe matokeo yenu aisee. Maana nilikuwa bize kidogo
Nipe matokeo basi. Vipi captain wenu LeoEndelea kuwa busy tu mkuu
uchokoz mwingine huu wa ugenini,..Nipo bize Etihad...Nipe matokeo basi. Vipi captain wenu Leo
Captain mpya ana gundu Leo. Man united inashinda leouchokoz mwingine huu wa ugenini,..Nipo bize Etihad...
Ngoja niwape Sunderland Skrtel buuuuuuuuuuuure,bila kusanyo lolote hata medical fees nitagharamia..Captain mpya ana gundu Leo. Man united inashinda leo
Nyie 3 sie 2Pazi nitajie tu
Ndo EPL hiyo pole sanaN
Nyie 3 sie 2
Captain he did well ... nenda kwenu mkuuNipe matokeo basi. Vipi captain wenu Leo
Mbona unamfukuza mgeniCaptain he did well ... nenda kwenu mkuu
Duh Leo skertel kauzi wengi watu twitter wengine I wish he die wengine he is worst than Hitler, Skertel kaja kuharibu kazi nzuri iliofanywa Na wenzake week mbili zote nyuma ILA Mie pia namlaumu Klopp kidogo bora Kolo Na Kati Hendo hapo naye aondoke Hendo.
Wageni wanaokuja kuchunguza tumekula nini hatuwatakiMbona unamfukuza mgeni
Acha hizo. Naona beki yenu imerudiWageni wanaokuja kuchunguza tumekula nini hatuwataki
Hahahaaaaaa chifu utawaweza hawa watu?Juzi kati tu hapa mlikuwa mnajidai kuwa Skirtel karudi backline yenu itaimarika kwa kumbench mzee wa maboko Kolo, now anaonekana mbaya kisa mistakes za kimichezo?? Soccer ndivyo lilivyo leo anacheza vizur next game anazingua. Tuvumilane wakuu. Poleni anyways.