Liverpool vs B. Dortmund ikitokea hii ni hatari
Taarifa za chinichini nilizopewa ni kuwa KLOP atapangwa na timu yake ya zamani SUBIR MUONE
Pale hakuna nani anapangwa na nani, ni mwendo wa kuokota vikaratasi. Ni some sort of bahati nasibu.
Vizuri Dortmund tunawachapa vizuri Tu Away Na Home tutawacharanga vibaya.BORUSSIA DORTMUND VS LIVERPOOL
Kwa story zilizopo summer atatolewa kwa mkopoIbe alipewa nafasi nyingi sana ikawa kazi bure kabisa!Ona mtu kama Lallana au Lovren wametumia vyema nafasi zao hata sasa Skrtel hawezi kuja tena pale!!
Ibe atacheza mechi rahisi!!
Daaah mkuu ulituchuria!Hatari sana hii lkn Majogoo yatapiganaLiverpool vs B. Dortmund ikitokea hii ni hatari
Klopp bado umri unaruhusu kufikia mafanikio ya Babu!Ktk EPL ni yy mwenye sifa hiziOkay. And this too, I'm bookmarking it.
Ila umeshusha hadhi ya SAF kwa kumlinganisha Klapp na SAF. Klapp hastahili hata kugusa footprint ya au hata kivuli cha SAF.
Nafikiri Ni GiggsKlopp bado umri unaruhusu kufikia mafanikio ya Babu!Ktk EPL ni yy mwenye sifa hizi
Au Big Sam ndiye ww unaona anaweza mfikia Babu?Au Pachetino au Wenger au Pelle?
Hapana mkuu, History ya mpira iko hivyo, mifano ni mingi,Daaah mkuu ulituchuria!Hatari sana hii lkn Majogoo yatapigana
Mfano :manager ya Bayen Munich alikutana na timu yake ya zamani Baca, benetiz, Maurinho na wengine wengi ni kama kuna kasumaku kanavutaHapana mkuu, History ya mpira iko hivyo, mifano ni mingi,
AbsolutelyBORUSSIA DORTMUND VS LIVERPOOL
A couple of positives - (1) Klopp knows Dortmund inside out. (2) If we win this tie then we have a fantastic chance to win this competition.Vizuri Dortmund tunawachapa vizuri Tu Away Na Home tutawacharanga vibaya.
Hakuna wa kumfananisha na SAF braza...labda kama unataka kufosi kingi.Klopp bado umri unaruhusu kufikia mafanikio ya Babu!Ktk EPL ni yy mwenye sifa hizi
Au Big Sam ndiye ww unaona anaweza mfikia Babu?Au Pachetino au Wenger au Pelle?