The fight was real!The spirit was real!!
Tuwaponageze vijana kwa walicho onyesha,vijana wamecheza soka,vijana wamepigwa kwa penalty dakika 120
Wanakuja Jumatano home,watapigwa tu!Penalty yyt anakosa;100% ni discrete probability
Penalty hazina fundi
Tukubaliane tu kuwa Klopp jana kabugi katika upangaji wa wapiga penalties..
penalties hazina fundi ndo maana talented players kama Suarez, Neymar, Coutinho, Lewa, Di Maria etc ni wabovu katika upigaji wa penalties, hata Messi japokuwa anaconvet most of his penalties but siyo mzuri kwenye upigaji penalties, penalties hazihitaji ufundi wala mafundi, penalties zinahitaji kujiamini na umakini..ndiyo maana unakuwa mtu kama Lambert ana record nzuri ya penalties kuliko Messi..
kwa pale LFC wapiga penalties wazuri tuliobaki nao ni Milner, Emre Can, Benteke, Origi, Allen, Lallana yule Henderson ni out regular penalty taker but ni m-bovu kwenye kupiga penalty..ndo maana kwenye games tunamtumia sana Milner, jana kama Milner na kina Origi wangepiga penalties wala nisingelalama humu, ndo maana huoni nikilalama kwa Lallana..my concern ni kuwapa penalties kina Lucas na cou, tena penalties za mwanzo, Navas ni shit player but ni penalty taker mzuri kuliko kina Aguero, ndo maana kaenda kupiga penalty ile ya pili iliyokuwa na presha kubwa, sasa sisi tunawapa kina Coutinho wakapige penalties..
jana Klopp kakosea, haina haja ya kumtetea kwa hilo. game ya besktas ile tuliyotolewa kwa penalties watu walihamaki sana humu Lovren alivyokosa penalty, but kwa kuwa sasa yupo Klopp tunaona sawa tu Coutinho kwenda kupiga penalty..
Fair critcism ni muhimu sana katika soccer.