Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hahahaaaaaaaa

Countinho, boby firmino huku teixeira

Deadly Brazilian trio, can't wait for d next season to start. [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]

Mtakufa na umasikini wenu huo, mpira pesa, hahaaaaaa hahaaaaaaaaa haaaaaaaaaaa
 
Firmino with a run down the wing, passes inside to Coutinho.. Coutinho with a delicate through ball to Teixeira, Teixeira squares it to Benteke.

Bentekeeeeee














Goal kick.
hahahaaaaaa how it goes kop?

[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Liverpool will start progressing when hendo allen milner are merely impact players rather than first team regulars...u cant build tittle winning team kwa midfield ya hendo milner..they are water carriers who shud be in handy kweny team ambayo ina quality players kila idara..mfano ukiwa na controlling midfielders kama gundogen tielmans then u could do with one water carrier kama hendo just to do all the donkey jobs...but unapotegemea hendo to controll tempo ya mchezo thats accident waiting to happen.[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
 
HAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHA!

Mzee wa kujificha mambo yakiwa magumu uwanjani.
 
i know it hurts, but Echo na local journos wote wanasema FSG walikuwa tayari kulipa £38m, but Klopp himself aliwaambia wasilipe hicho kiasi, (not to pay over the odds)..thats why baada tu ya dirisha kufungwa, akasema "Tuwaamini" wanaelewa wanachofanya. hela ambayo Klopp alikuwa tayar kulipa ni £24.5m, na £3m add-ons..but SD refused hiyo offer..hata Chelsea waliback-off kwenye hiyo deal..

baada ya ile interview aliyofanya Teixeira na Anfieldhq, ilikuwa ni ngumu sana kubaki pale SD, maelewano yake na SD yalikuwa yashaharibika tayari..

But, i cant blame him Aiseee, maanake kama Clubs za ulaya (ilianza Juve, then PSG, wakaja Chelsea, afu sisi) zilishindwana na SD katika fee, (ikumbukwe MK had to boycott trainings kipind kile ili kuforce move, Fernandinho ilimbidi aongezee hela yake mwenyewe mfukoni ili kusign Man City, Douglas Costa nae aliforce move through multiple interviews)…ni ngumu kudeal na ukranian owners (wanajiona matajiri saana)..hiyo club ya china imelipa £38m, na jamaa atakuwa joint number 10 katika list ya players wanaolipwa pesa nyingi duniani...so kama dreams zake za kucheza kwenye league kubwa zimefail, atleast mwache tu akajipoze na huo mkwanja..but sad thing ni kwamba jamaa ni 26 na ana talent kubwa sana..but tusimlaumu, he tried Aisee, owners ndo wakawa tatizo...mwache tu akapige hela, anastahili.
 
Mie namsupport Klopp kuback off kwasababu ya high fees. Ubaya tu ni kuwa hakukuwa na option B. Lakini, £38 was too much...na expectations za kila mtu zilikuwa kubwa. Kama asingecope mapema na kuleta imediate impact, burden ingelala kwa aliyemsajili (Klopp). Tungerudi kule kule kwa BR. I think he acted rationally.
 
Ings japo muingerez but anadribble na ana very good first touch...yan kwa mtazamo wang his first touch is as good but sio main striker ambaye cc tunamuitaji
modern football inahitaji Versatile STs..ings can play nafas yoyote katika front 3..
 
Well Well Well said brother, hakuna doubt kwamba jamaa ni talent, but hela ilikuwa nyingi sana, kulingana na expectations walizokuwa nazo fans, balaa lingeanza kama angekuwa na slow start katika league, lol..

nakumbuka tangu mwanzo, Klopp alisema hatosign attacker yoyote window ya January, lakin baada ya injuries kutukamata sana, wakawa forced kuingia katika Market, na nadhan katika targets zake zote Klopp, naona Tex tu ndo alikuwa available, so wakaona wajaribu, ila fee ndiyo ilikuwa kikwazo..jamaa alisema anataka kununua quality tu, so kama tuliachana na Tex, sidhan kama angekurupuka kwa players wengine ambao hawakuwa kwenye plans zake...nadhan targets zake nyingi zitakuwa available january..though nahisi kwa Granit Xhaka kutakuwa na Bonge ya Competition..ila Klopp kasema "Money is there"..

BTW, Umepotea sana kaka, namiss sana Views zako mkuu.
 
lol, FSG nakumbuka walimwaga hela nyingi kwa King Kenny, lakin Comedians aliowasajili Legend wetu Aisee, sitokuja sahau.
 

Yaah, it's true kabisa mkuu, Klopp alijipanga kuisuka timu in the summer. Kinachofurahisha ni kuwa ujio wa Klopp umerahisisha sana kuattract Top Talents. Nakumbuka wakati wa BR tulikuwa tunastruggle kuattract hata mediocres!
Nipo mkuu, mambo yalinibana bana kimtindo ila nipo. Nafurahi kupata kuzipata chambuzi zako once again. Naona majeruhi wetu wameanza kirudi...coming next week squad itakuwa pana.
 
lol, kwa BR ilikuwa shughuli..lakin sasa tuna manager mwenye Pulling power kubwa saaaana...naamini Klopp ndiyo mtu sahihi wa kuirudisha hii Club sehemu yake inayostahili kuwepo.

Yap Yap..next week nadhani, team yote itakuwa full, bar ings and Gomez ambao wana majeruhi ya muda mrefu, but ings kaanza mazoezi mepesi nje ya melwood, Gomez pia naona naye kaanza mazoei mepesi.

kwa mara ya kwanza, few weeks zijazo tunaweza tukashuhudia DS, Firmino na Coutinho wakicheza pamoja (kama mambo yakiendelea poa kwa DS)..na tutakuwa na options kibao kwenye bench.
 
lol, FSG nakumbuka walimwaga hela nyingi kwa King Kenny, lakin Comedians aliowasajili Legend wetu Aisee, sitokuja sahau.
Kila nikikumbuka kwamba tulishawahi kusajili mpaka mtu anaitwa Philip Degen....hapo ndo nachoka kabisa! Tulimleta Aquilan akiwa kwenye machela. Hahaaaaa!!!!
 
Kila nikikumbuka kwamba tulishawahi kusajili mpaka mtu anaitwa Philip Degen....hapo ndo nachoka kabisa! Tulimleta Aquilan akiwa kwenye machela. Hahaaaaa!!!!
HAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHA!

Tumepitia mengi kaka, Dah..but vitu kama hivyo ndiyo vimefanya tuzidi kuwa strong zaid kama fans..but naiona bright future kwa mara nyingine tena..
 
kiungo ya
Kiungo ya Jordan Henderso, Emre Can, Minler lazima kukimbia kuhusike
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…