Ed n Edd nEddy
JF-Expert Member
- May 3, 2011
- 5,345
- 6,078
Bora hujaangalia Benteke is too shit ...... Ila nimefurahi kuona physical fitness kwa timu yetu inaanza kurudi ..... Jana hatukuwa na sababu ya ku-draw kabisaGame ya jana sijaiona, how did we fare? Kwa kupata draw mbona runaongeza mechi nyingi tena ndani ya muda mfupi na hapo tuna europa league inakuja mwezi February
Sent from my K019 using JamiiForums mobile app
I like this kid itaniuma akiondokanadhan mwisho wa msimu Teixeira anaondoka kwetu yes his chances ni ndogo mno cz tuna watu wengi wa muundo wake pale kwetu pia alivunjika mguu na aliumia mgongo alispend kama miaka miwil nje hiyo imemchelewesha sana..
Kwa youngstars kupoteza mwaka mmoja tu of development kunaez kukupoteza kbsa uwezo wako [emoji31] [emoji31] nadhan nafasi ya kubaki ni ndogo sana
Wakimuacha aende siyo fairMwache aondoke halafu baada ya msimu mmoja akina Ayre wakamnunue kwa 20m. Si unakumbuka ya Ince?
Duh! Kurudi kwao nakuchukulia kama vile tumefanya new signings vile!Coutinho, Sturridge, Origi and Skrtel to return to Liverpool training this week
kachomoa personal agreements, lolNewcastle in talks to sign Jose Enrique
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] uyo mbaka mwisho wa msimukachomoa personal agreements, lol
Bado Tunae huyo..haha
Chifu, siyo unazungumzia dhidi ya Newcastle kweli?ya denis begkamp vs birmingham kwa wale waliowah kuona magol bora kabisa ya begkamp..[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]