Ampe nani?Klopp kitu cha kwanza anatakiwa kufanya kama kocha ni kumnyanganya ucaptain hendo at the end of the season...
Kipindi cha BR hata kumsajili lamela tulishindwaKijana analeta mambo yale ya Suarez na Sterling, lmaooooo
hahahahahahahahaha!!!!Kipindi cha BR hata kumsajili lamela tulishindwa
Sent from my K019 using JamiiForums mobile app
Klopp kaisha chukua kombe la kwanza,Man City wazee sana hawawezi kasi yetu na hasa baada ya DS kuponaLFC Vs Man City at Wembley...BRING IT ON..
Huyu dogo ameonesha dhahiri he wants that move.Halafu, kasepa kwenye training camp ya Shakhtar huko States, kaenda zake Brazil...
If Chelsea do us another "Willian" then ni bora aje Mwarabu au Mrusi achukue timu yetu!Chelsea wamepata mil 25 kumuuza ramirez...now I wont be suprised wakimalizana na shakthar kwa texeira