Kuna watu hapa walikuwa wanamponda Sterling na kumsifia Ibe ni mchezaji mzuri kuliko Rahim naona mambo yamebadilikaNingekua klopp ningemuweka out of 3 game Ibe ajifunze heshima
Mkuu mambo yanabadilika Ibe alikuwa anakuja vizuri over sterling ila siku hizi naona sifa zinamzidi anakua boya Fulani hiviKuna watu hapa walikuwa wanamponda Sterling na kumsifia Ibe ni mchezaji mzuri kuliko Rahim naona mambo yamebadilika
Bahati yenu tuMkuu hisia zimekupeleka mbali sana teeeeeehe teeeehe pointi 3 kibindoni
Yule jamaa haitwi Asante Bassong Ni Sebastien Bassong naweka sawa Tu tehtehteh.Bahati yenu tu
Teeeehe teeehe na nyie mkaitafute hiyo bahatiBahati yenu tu
Hahaha ndo tuitafuta hapa OTTeeeehe teeehe na nyie mkaitafute hiyo bahati
Ametisha sana babaake...