Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

MosDef pole sana best maneno yako yamekurudi.......

Huyo anakuja kupiga kelele Man united wakifungwa Ila team yake ikifungwa Huyo mbiyo kwenye Shimo Kama digi digi ...mi namuona Kama mpiga kelele flani hivi..
Jana alikuwa anatamba hapa peke yake.
 
KLOPP asijione km yy ni YESU kwamba anaweza kufanya maajabu na wachezaji km hawa never.......aache ubishi USAJILI lzm leo tar 18 bado cku 13 tu km hatosajili watu hapa hawezi fika popotee
 
Katika mashabiki wa Liverpool wewe ndio nakuona huwa unaongea ukweli kuhusu team yenu...sio wengine kusema ukweli kuhusu team yai hawapendi Kama kina miss flani!
Alikuwepo na tisha-toto kisa kuongea ukweli walimshambulia hadi leo kapotea.

Teheee teheeee teheeeeeee eti timu la makumbusho
[emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30]
 
Poleni sana............... Work done tuonane msimu ujao.
sawa mkuu..Ila tulipiga mpira mkubwa kuwazidi...ni Bahati tu mkapata goal....Lakini bado kiasi kitaendelea tu....I will never support manyau team....despite what..
 
KLOPP asijione km yy ni YESU kwamba anaweza kufanya maajabu na wachezaji km hawa never.......aache ubishi USAJILI lzm leo tar 18 bado cku 13 tu km hatosajili watu hapa hawezi fika popotee
Januari Klopp hawezi wachezaji anaowataka, nina imani muda wa summer atasaini angalau wachezaji wake! Ni kocha mzuri.
 
Timu ilikubali kufungwa na nyie ni Chelsea na Man City sio United
Mechi ya kwanza walipigwa 3 nguvu ya kutamka hayo wanaitoa wapi msimu huu wameachia alama zote 6 na mabao 4.
 
sawa mkuu..Ila tulipiga mpira mkubwa kuwazidi...ni Bahati tu mkapata goal....Lakini bado kiasi kitaendelea tu....I will never support manyau team....despite what..
Pole sana mkuu...... kama bahati basi ni mbaya safari zote tunakupiga tu...
 
Happy 23rd birthday Texeira
Kinacho niuma ni kwamba dogo bado ni academy player at the age of 23 alitakiwa awe starter au squad player yaan kumpa nafasi Lallana ni bora apewe Texeira tu maana lallana ana mambo mengi at last anashindwa ku-deliver
 
KLOPP asijione km yy ni YESU kwamba anaweza kufanya maajabu na wachezaji km hawa never.......aache ubishi USAJILI lzm leo tar 18 bado cku 13 tu km hatosajili watu hapa hawezi fika popotee

lol, umeiona/umeisoma interview ya Rodgers??? your thoughts?
 
lol, umeiona/umeisoma interview ya Rodgers??? your thoughts?
hawa Yankees football is not their "thing", kwa yale aliyosema BR we are far behind to be a top team lets hope watachange they chose Balitelli over Sanchez
 
hawa Yankees football is not their "thing", kwa yale aliyosema BR we are far behind to be a top team lets hope watachange they chose Balitelli over Sanchez
hahaha, telling Rodgers to turn Balotelli into a £50m striker...

Klopp asipokuwa na msimamo, atafail LFC..
 
Hahahahaaaa simon Mignolet new contract at liverpool.
Must be for the bantazz.

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…