Siyo miracles mtakosaje goli zote zile kizembe halafu tufungwe ionekane miracle we squandered clear opportunitiesMkuu ngoja nipumzike maana najiuliza tumeshindwa vipi kuwa funga? Kweli kuna miracle kwenye mechi
Uchambuzi gani unaotaka mkuu. Kwa kifupi ni kuwa zilikutana timu mbili mbovu. Zikacheza game mbovu. timu mbovu zaidi ikacheza mpira mbovu zaidi ikapata ushindi wa goli 1. Jukwaani kulikuwa na mashabiiki wenye kelele nyingi wakishabikia mpira mbovu.Wachambuzi mko wapi jamani? Tupeni uchambuzi tafadharini sana,
Kwahyo pale sakho ange-press forward, milner ange move back angempa mignolet, mignolet angempa firmino ambae angempa the little magician countinho ( ooopsssssss my bad kumbe yupo wodini) ok angempa benteke, then tungesikia bentekeeeeeeeeeeee
Au mnaonaje wadau?
Kheeeee kheeeeeeee kheeeeeee kheeeeeeeeeeeew
Kwahyo mkuu nini kingefanyika ili ushindi upatikane kwa hawa ndugu yetu? ( ongeza sauti kidogo wasikilizaji wakusikie vizuri)Uchambuzi gani unaotaka mkuu. Kwa kifupi ni kuwa zilikutana timu mbili mbovu. Zikacheza game mbovu. timu mbovu zaidi ikacheza mpira mbovu zaidi ikapata ushindi wa goli 1. Jukwaani kulikuwa na mashabiiki wenye kelele nyingi wakishabikia mpira mbovu.
Na anavyojua kukimbia jukwaaa aiseeee.......Atarudi hapa next week
Aiseee kweli my kaka umeongea kisoka pata kinywaji baridi kwa bill yangu, yaani nilijua leo kisasi kinalipizwa jinsi mlivyoshambulia duhhh!!!! Anyway pole sana .......Siyo miracles mtakosaje goli zote zile kizembe halafu tufungwe ionekane miracle we squandered clear opportunities
Timu ilikubali kufungwa na nyie ni Chelsea na Man City sio UnitedTumefungwa na timu ilyokubali kufungwa na sisi!
Lazima ukubali kuwa Liver ni mbovu na zama zimepita! Ni timu ya kawaida na ni wateja kwa Manu. Mi sio Manu.Uchambuzi gani unaotaka mkuu. Kwa kifupi ni kuwa zilikutana timu mbili mbovu. Zikacheza game mbovu. timu mbovu zaidi ikacheza mpira mbovu zaidi ikapata ushindi wa goli 1. Jukwaani kulikuwa na mashabiiki wenye kelele nyingi wakishabikia mpira mbovu.
Bado hatuna goal conversion techniques mkuu! Ndio maana tumekuwa na shots kibaobob target ila bila mafanikio hawa jamaa wamepata moja wakaitumia vizuri.... JK anatakiwa aangalie zaidi attacking options...Msipowafunga kabla ya mapumziko hamtashinda Leo.Man United weupe mlitakiwa muwe 1-0 hadi sasa
Mie LFC ipate Kipa tishio Na Striker bado haina bahati ukitoa Sturidge Na bahati mbaya ya Maumivu LFC itizame Man U kwa Rooney miaka mingapi yupo pale? Watauza wote ILA sio yeye mpaka wajue Ss naye basi tena. LFC tumeuza Torres tumeuza Suarez Na tunakuja kununua Striker bei mbaya wanaharibu, LFC ikiweza kuwa NA Kipa tishio atarahisisha kazi ya mabeki Na Striker dribbler Na mfungaji atasaidia Midfield kazi kuwa rahisi! Klopp anakazi Sana kuisuka timu mpaka Ss.