Maoni yangu Ibe anahitaj loan ya miaka 10.arudi when he is 30Kama JK atafanikiwa kumbadilisha Ibe, jamaa atakuwa a very integral part ya timu. Nguvu na kasi anayo, akili ya nini cha kufanya na kufanya maamuzi ya haraka ndio anakosa.
Nyie sasa mtakuwa mijigoo muda si mrefu...... wapi wembeee na Ed n Edd nEddy? ??
Chifu, acha kupaniki! Hapo nimebisha ama nimemchokoza huyo jamaa kwa swali? BTW, social media pia zinasema the same kwa game ya juzi, na hapa naongea ili 'kukubaliana' na wewe kuwa social media ndiyo jaji, which is totally absurd.Ubishani wako muda mwengine unajishusha mkuu Social media zinaongelea game then unajaribu kufananisha sababu 3-3 muda mwengine bora kukaa kimya.
plus 75 za city..so jumla jamaa anaweka kibindoni 175 per week bila kazi yoyote...Kila mtu ana bahati yake ,Adebayor hana timu bado analipwa mshahara na Spurs (100,000)
Sijui ndio nshapigwa ban
Hahahahhahha mtani ile game ilikuwa yako basi tu......mtani nilisaga sumu mwenyewe .....Mtani nilikua excited na perfomance ya jana wacha niendelee kucheki marudio
Hahahahhahha mtani ile game ilikuwa yako basi tu......mtani nilisaga sumu mwenyewe .....
Ibe ndo katupoteza jana! Next mech akianzia bench atajifunza kitu!
well deservedPlayer of the month - december
Ili mumpange nani? Wote majeruhi...
Ili mumpange nani? Wote majeruhi...
How bro?Ibe ndo katupoteza jana! Next mech akianzia bench atajifunza kitu!