Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Akiendelea na hawa wachezaji wa Rodgers msimu ujao, CV yake yote itaharibika.
Klopp anatakiwa kua ruthless kama alivokua rafa ili afanikiwe liverpool otherwise atakua german version of brendan Rodger


Too many shudders and deadwoods pale liver bado kocha anaona asisajil had summer...rafa alimkuta danny murphy ambae alikua our player of the season but akamreplace with xabi bila hata kusubir..klopp shud be ruthless pia.bado tuna chance hii season endapo klopp ataleta watu sahih

Benteke is too static kulead our attack...hatujawah kufanikiw na aina hii ya foward..hata heskey alikua more mobile.
 
Chelsick mnategemea nini?
Kuokoka ndio wanategemea wakaenda chini Tu wanategemea kujenga uwanja watu 60,000 huo WA elfi 40 tabu kujaza Wao, wakashuka uchumi Wao Arsene Wenger atawasaidia kuwajengea uwanja WA watu Elfu 20.
 
Only Sakho, Can, Coutinho, henderson, clyne na Moreno ndiyo wanastahili kubakia LFC.
Kuna jamaa alisema mapema
Kuna wakati unaona wachezaji wote hawafai kuchezea liver basi ndo kama leo Moreno leo anaacha jukumu lake la kukaba anaenda kushambulia tukipigwa Counter krosi inatokea upande wake
 
Huyu mtu bora hata ya maguli ...... Siamini kama yupo LFC kuna muda huwa nahisi ni ndoto ........ Β£32m too waste of our pride
Ndo mchezaji wenu tayari. Wakati anasajiliwa mashabiki walifurahi. Kuna rafiki yangu nilimwambia huyu benteke sio wa kuchezea liver kabisa
 
Mhhhhh!!!! @Ed n Edd nEddy embu mueleze huyu chalii jinsi gani kina Gomiz walivyotutesa aiseee!!!! Huwa siisahau ile picha uliyoiweka mtani!!!!....lol

Hahahha mtani umenifanya nicheke wakati nina hasira ...... Ngoja nikaiweke tena πŸ˜ŽπŸ˜ŽπŸ˜€ ....... Hongera kwa point 3 mtani .... Heri ya mwaka mpya
 
Kuna jamaa alisema mapema
Kuna wakati unaona wachezaji wote hawafai kuchezea liver basi ndo kama leo Moreno leo anaacha jukumu lake la kukaba anaenda kushambulia tukipigwa Counter krosi inatokea upande wake
mdogo wako Coutinho inaonekana anamchukia sana Benteke,
 
Hahahha mtani umenifanya nicheke wakati nina hasira ...... Ngoja nikaiweke tena πŸ˜ŽπŸ˜ŽπŸ˜€ ....... Hongera kwa point 3 mtani .... Heri ya mwaka mpya
Hahahhahahhaaha mtani leo itabidi uiedit uonyeshe leo tunalizomea lenyewe...

Asante mtani nimeanza mwaka mpya vizuri..... Asante mtani nawe pia heri ya mwaka mpya
 
Teh Teh mtani lkn Ukichunguza vizuri hizi timu tofauti yake ni majina tu
West harm
Liverpool
Soton
Stoke
Everton.
Man u
HahahAha mtani tafadhali nitoe kundi hilo mimi simooo.....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…