Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Vp lovren?
never said Lovren is solid bro, i said he's MILES better than Fonte, and a very GOOD PASSER than Skrtel. BTW skrtel will be the first one to leave LFC before Lovren.
 
Benteke is Shit.
 
i hate to admit this, but tunamiss sana Work-rate ya Milner.
 
Benteke is Shit.
Mie sioni Kama Benteke Ni shit Kama watu wanavyodai tatizo Ni Firminho na Lallana sijui kwanini Firminho halaumiwi? tuombe siku Benteke Na Sturidge wasimame pamoja.
 
Mie sioni Kama Benteke Ni shit Kama watu wanavyodai tatizo Ni Firminho na Lallana sijui kwanini Firminho halaumiwi? tuombe siku Benteke Na Sturidge wasimame pamoja.
nilishasema humu kuwa Firmino amekuwa m-bovu since ile game ya City, but hiyo haiwezi kujustfy ubovu wa Benteke upfront.

Benteke cant press, cant run behind defenders, Cant position himself, cant score simple Tap-ins, hana hunger wala passion ya kutafuta goals (not disrespecting Ben, but Carol umemuona leo, he was everywhere), Benteke hata kwenye Corners anakaa katikati ya msitu wa opponent CBs wakat yeye ndiyo main target, atafunga saa ngap? leo caroll katumia ufupi wa Clyne kufunga, but Benteke kwenye corners anakaa katikati kabisa, atafunga vipi?

Origi kabla ya hajaumia alikuwa ana link-up vizuri na kina Lallana, na kama origi asingeumia sidhan kama Benteke angekuwa anaanza sahiv, Rodgers bought him for £32m akitegemea Ibe kumchezesha Benteke..

Benteke atashine LFC kama Akiletwa Winger mzuri, na LFC hatuna wapiga cross wazuri, mpiga cross mzuri ni Brad Smith tu, ambaye siyo starter, kwa sasa Benteke hafai kuwa starter LFC.
 
Bora kuwa na wachezaji waliojaa philosophy ya LVG kuliko kuwa na mchezaji mmoja caliber ya benteke this nigga is too shit
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…