Tetesi ambazo imeziona ni kuwa tunamtaka sana Leroy Sane (huyu mtoto baba yake alikuwa kocha wa timu ya taifa ya zanzibar) ujue ni ngumu kupata striker ambaye yupo mobile ambaye anaenda na mfumo na wachezaji wetu ndo maana hata muda gani glassyboy akae majeruhi ila akitudi tu uwanjani anatupia kwasababu anauwezo wa kucheza na space.Tetesi kuwa atakuja Lucaz aliyekuwa nae BVB na sasa yupo Gala ya Uturuki ni kweli?Yule akija Benteke ata shine sana
Klopp namuamini sana kwenye transaction sio kama mwehu BRTetesi ambazo imeziona ni kuwa tunamtaka sana Leroy Sane (huyu mtoto baba yake alikuwa kocha wa timu ya taifa ya zanzibar) ujue ni ngumu kupata striker ambaye yupo mobile ambaye anaenda na mfumo na wachezaji wetu ndo maana hata muda gani glassyboy akae majeruhi ila akitudi tu uwanjani anatupia kwasababu anauwezo wa kucheza na space.
Kama Danny Ings angekuwa fit angekuwa main striker msimu huu. Na angeshakuwa na goli zaidi ya 10.Kwa type ya players tulionao ni ngumu kwa Benteke kuflourish kama suarez ama torres kwasababu
1. Tuna winger mmoja na siyo starter jordon ibe, ili benteke aweze kufanya vizuri tuna hitaji winger wa kutoa cross ambazo ata piga kwa kichwa au kutuliza kifuani na kupiga hapo benteke lazima awe bora
2. Tuna number kumi wengi ambao ni wanyumbulifu(coutinho, lallana,firmino) ambao hawachezi direct football hapo ndipo naona shida ipo kwa benteke
3. Striker ambaye anaweza kujitengenezea nafasi, kukaa na mpira na kutengeneza kwa wengine ndo striker anaweza kupata success pale anfield
Ings anajua sana yule,we miss him mnoKama Danny Ings angekuwa fit angekuwa main striker msimu huu. Na angeshakuwa na goli zaidi ya 10.
Ukweli ni kwamba Skrtel amechoka na ukweli ni kwamba tangu klopp amekuja Lovren amekuwa vizuri sana. Shida ya Sakhonikutaka kucheza kama CAM au striker hao watu wakipoteza mpira upfield hakuna madhara makubwa kama ambavyo Sakho alipoteza mpiraKlopp namuamini sana kwenye transaction sio kama mwehu BR
Then inabidi Sakho na Lovren waendelee kuwa patner!Skrtel's time is over(mawazo yangu)
Danny Ings alianza vibaya ila baada ya mechi chache alikuwa ameshachukua nafasi ya BentekeKama Danny Ings angekuwa fit angekuwa main striker msimu huu. Na angeshakuwa na goli zaidi ya 10.
Yaah, ni kweli. Alihitaji mda kuadapt na akafanikiwa mapema. Angecheza na three no 10's kama jana angetupia. Anaweza sana kutumia space ndogo na pia kuwahamisha defenders akawapa mwanya kina Coutinho.Danny Ings alianza vibaya ila baada ya mechi chache alikuwa ameshachukua nafasi ya Benteke
Na la jana je? Ile na leicester hakuwa na uwezo wakufunga bali kumtengea Lucas afunge yeye akaona bora ku-squander that opportunity la jana alikuwa anatakiwa kuchop tu hivi hawa wachezaji huwa waoni akina messi, suarez, ronaldo au lewy wanafanya nn wakibakia na kipa tu?? Wanaudhi kweli@mak89 upo sahihi!Goli alilokosa Benteke na Leicester sekunde ya mwisho hadi leo linanikera
...sio kila mchezaji ana uwezo wa ku chop,hilo ujue.Na la jana je? Ile na leicester hakuwa na uwezo wakufunga bali kumtengea Lucas afunge yeye akaona bora ku-squander that opportunity la jana alikuwa anatakiwa kuchop tu hivi hawa wachezaji huwa waoni akina messi, suarez, ronaldo au lewy wanafanya nn wakibakia na kipa tu?? Wanaudhi kweli
Ndo maana kukawa na muda wa mazoezi...sio kila mchezaji ana uwezo wa ku chop,hilo ujue.
Happy New Year EveryOne #YNWA
Hahahahahah, ilikuwa poa saaana, thats the LIVERPOOL WAY. #We'reEverywhere.Yup Yup bro.. Ilibidi niingie dimbani kuchagiza uwanja wa nyumbani.
Yafaa tuwatoe hawa Ma Glassy BoyHappy 23rd birthday Flanno
Kushinda mechi mbili mshawaza Ubingwa, poor youUbingwa wa liverpool msimu huu you people worry not