Liverpool FC (The Reds) | Special Thread


benteke anajikaba mwenyewe , ibe pasi yake ya mwisho ni hovyo siku zote, akiwaanzisha hawa watu tumepoteza
 
Wamenikera sana kumkurupusha domokaya, watu walishaanza kuzoea kujichotea pale mapoint.....sasa hawa wahuni wametibua kabisa! Aggghhhrrrrrrrr....!
 
Takwimu mpya zinaonyesha bado tupo number 8 katika most Valuable football clubs, and we're 2nd katika largest active fanbase
 
Barret saying Buvac ndo alirecommend kwa Klopp kuhusiana na Grujic, ambaye atasign January then atarud Serbia kwa mkopo mpaka mwisho wa msimu.
 
Lovren will be back against Leicester, injury yake haikuwa serious, and Sakho could be featured hiyo keshp dhid ya Watford, Milner is out injured..
 
Lol, Glad that Milner is injured, tunaweza kuona MF ya Lucas, Can and Henderson hiyo kesho
 
i'd start Firmino as false #9 , with Cou and Adam behind him, kama siyo hivyo i'd rather give Origi a shout lakin siyo Benteke, game zote alizoanza Benteke rate ya ushindi ni 0.8..
 
Manure wanadrop points, but tunashindwa kucaptalize..
 
Joel Matip wa Schalke 04, ndo target ya Summer, atakuwa free, Klopp anamtaka, me simkubali huyo jamaa Aisee, kuna CB wazuri zaid ya huyo, and Klopp should be aiming higher ana pulling power kubwa sana..
 
lol, Baba ake Grujic alikuwa anataka mwanae aende Vfb au inter Milan, alikuwa anadai kuwa waserbia huwa wanafail LFC, mfano ni Markovic and Jovanovic, hapo kwa Jovanovic nimecheka sana ni mmoja kati ya Wachezaji wabovu kuwahi kuvaa the famous red jersey...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…