Liverpool FC (The Reds) | Special Thread


Mkuu, mbona Klopp kasema hataki wachezaji wapya kwa vile hawawezi ku-guarantee success?

I have this horrible feeling in me re Klopp's final season with B. Dortmund....alifanya vibaya sana pale na hii ilitokea baada ya kuwapoteza akina Lewandowski na Gotze.

Kuna similarity kubwa na kilichotokea kwa BR baada ya kuwapoteza Suarez na Sturridge (injury).

Or is it me???

Am not happy at all with the way things are currently panning out at Anfield kwa kweli.
 
Poleni wakuu hakuna cha mcheza kwao leo ......... ....... ..... kutuzwa.

Correction .... ...... samahani wakuu maana mpira wenu ulikwenda 10min extra time na mlipata goli la kusawazisha at 95:24 ... ....good point saved Bravo!
 
Hii game nimeiangalia tena kwa umakini mkubwa. Majogoo wamecheza vizuri, walistahili ushindi. Benteke kwa kweli yule si forward hasa kwa mipira ya juu. Mipira yote ya kichwa kapiga kama anaokoa. Heddo na coutinho wamecheza vizuri kwa kweli. Kunaitajika marekebisho madogo madogo na uzuri January ileeeeeeehhh inakuja.
 
Mnaota nyie mnafikiri Chelsea ni futuhi?

Kwa jinsi mnavyopenda kumechisha, leo lazima mtoe draw. Juzi mlikuwa 15 games, 15 points and 15th position. Leo mnacheza game ya 16, tunawatakia kila la kheri mpate hiyo 16th point.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…