Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Tatizo la mashabiki wa liverpool wakiwemo waingereza wengi, liver ikishinda mechi mbili tatu hivi eti tayari ni miongoni mwa title contenders!
 
"matumaini makubwa upelekea mfadhaiko usio thimirika"
 
Kila benteke akianza frontline hua hatushindi ni mara chache mno tunashinda
 
Ibe kaniudhi sana huyu dogo baada ya kufanyiwa sub kam mind coach hataki kumpa mkono wakati yeye ni kati ya waliocheza upuuzi
 
"Tulipata goli la Moreno ila kwakuwa tulicheza shit hata linesman hakuamini kama tungepata goli zuri kama lile." - Klopp
 
Liverpool are no where near being premier league title contenders. - J. Klopp.

We must admit jamani, tatizo letu sisi tumeshinda mechi kadhaa basi tayari ni title contenders, hapana. The man is still in the process of making up the team.

"We must learn and react." - J. Klopp

That's what we should do.
 
"We got this goal-- it was something like a Christmas present or whatever. We made our goal, but because we weren't good enough today, the linesman thought, 'Don't make World-class goals if you play this shit". J. Kllop.
Uuuuuwi! Huyu kocha kiboko, pamoja na kufungwa bado atakusababisha ucheke tu.
 
I have read an unpleasant news about Danny Sturriegie somewhere. I am not sure about its authentication
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…