Yes tofauti inaonekana kubwa sana Hongereni leo hadi Sket kaonekana!!! Mi niwapongeze tu kwa kweli.......ila bado mna point zangu tatu hapo mwakani....lol
'Gegenpress'.....
nilikua naita gangpress....
Klopp aliwahi kusema Arsenal ni kama classic music....
yeye ya kwake ni 'heavy metal'.....haha hhaa
Leo majogoo mmenifikisha kileleni. ..........YNWA.......thanks WBA too...........
Cc Malafyale Ed n Edd nEddy Pazi mak89 wembeee mangaML Asprin Kaizer #AllLFcfans.........ohhhhh nilikusahau MosDef najua wiki hii tutakukoma ......lol
hongera kwa ushindi wa nguvuNipo mkuu hakika huwa sipendi kukosa hata sekunde ya gege&pressing
thanks mkuu Leo room itagoma tumerudi tehteh, ila na Nyie hongereni kwa Kuwa juu ila tunakuja! Mbona Alama ya Like Mie sioni mwenye kujua anipe msaada.Congratulations Liverpool,leo mmecheza mpira
Tulichemsha Mara ya kwanza sababu hatukujulia angle nzuri ila next round jiandae kuomba pool
Mchepuko nimeuacha saa hizi mambo gani yale bora njia kuu ipo kweli njia kuu
Kwa mwendo huu sidhani kama mna lenu tena. Katika bigm mechi nne, BR katoa draw na arsenal, kupigwa na man utd, JK kashinda kwa chelsea na man city na nyie mtafuta trend hiyo hiyo maana mtakua machinjioni anfield
hongera kwa ushindi wa nguvu
hahahaha huko siji mimiAsante mkuu ... Toroka ujue toroka uje
Hahahahah eti mambo gani Yale!!!! Ahhh!!!! Wapi nami nishakujua nachange mapigo ....
hahahaha huko siji mimi
Sijui kwanini leo nimekua so excited zaidi ya Klopp sijui
Sijui kwanini leo nimemsamehe Skrtel kwa mistakes zote alizozifanya msimu huu kwa lile goli
Sijui kwanini hatujashinda 6 😡😡😡
Sijui kwanini Judas Iscariot (Sterring) aliifuata hii aibu teeehe teehe
Sijui kwanini FSG walichelewa kumleta Klopp
Sijui ingekuaje kama Lucas angeuzwa sijui
Sijui kwanini man u tulicheza nayo mapema eti @Thname everlenk CUTEb????
Asante klopp kitambo sana hapo Etihad
HahaHAha leo hadi umekuwa mwanamalenga? Asante sana kwa utenzi hivi hivi na madhaifu yangu hunifungi aiseee.......maskini Sterring aibuuuuuu!!!!
Jogooo langu mwenyewe halinisumbui hili. ......Jiandae n dozi ya gege&pressing mzunguko wa kwanza 3 ndiyo upate kuvuta pumzi 😎😎
Jogooo langu mwenyewe halinisumbui hili. ......
Teeehe teeeehe
nabaki man united daima