Tisha-TOTO
JF-Expert Member
- Feb 10, 2010
- 1,175
- 604
SAKHO is our best CB kwa sasa...tangu msimu umeanza hajafanya hata error moja, na ndiyo our strongest link katika back-line yetu..kama unafatilia LFC vizuri utagundua kuwa weak link kwenye backline yetu ni Skrtel...kinachotakiwa ni kutafuta another RCB wa kumpapartner Sakho..
BTW kwasasa i'd take Sakho, Smalling, Alderweireld, paulista etc, over Kompany...sidhani kama utamweka Kompany katika Top5 ya Best CB's kwa sasa kwenye EPL. Na kwa form yake ya tangu last season angekuwa anacheza kwenye team yenye average players kama wa LFC, ungekuwa humuongelei kama unavyofanya.
Hongereni kwa ushindi wa kwanza wa KLOPP. Wikiendi nataka mumshindilie Mourinho aendeleze malalamishi yake.
Lazima tumpige nyingi sana sijasaha msimu wa 2013 alivyotukosesha ubingwa,alishangilia utadhani anaenda heaven
Km Lfc imegeuka NEC basi mtatupiga nyingi tu..... Maana ata km shuti likigonga mwamba refa atasema goli tu!
Km Lfc imegeuka NEC basi mtatupiga nyingi tu..... Maana ata km shuti likigonga mwamba refa atasema goli tu!
Mkuu, I think you are missing my point nilipotumia mfano wa Kompany.
Kwa context niliyotumia, Kompany belongs to the WC bracket - huwezi kulinganisha pedigree yake na mediocrity ya akina Smalling, Sakho, etal. While Kompany is a class act (permanent), the others are just "form players" (temporary).
It goes on to explain kwa nini PSG walimruhusu Sakho aondoke. By the way, PSG haikuwa na "average players"!
You are probably right - Sakho may be the best LFC CB at the moment as you put it but for me he's the best amongst the rotten lot...I mean ni kama yai viza lenye harufu iliyo afadhali katika mayai viza mengi yaliyochanganywa pamoja - sifa hii, however, haimwondolei sifa ya "uviza"!
I'll never vouch for Sakho unless and until....
Baada ya uchaguzi kunivuruga leo nimerudi rasmi kucheza vigororo...
Nitakuwepo hapa kwanzia mwanzo hadi mwisho...
hahaaaaa usije ukakimbia wewe tu ..... kikubwa ni kwamba kigodoro kitakuwa kwenu leo
Kila la heri bandugu....
Amina.....leo tuna mseto wa kibrazil pale mbele....lazima chelsea afe