5 goals and 3 assists, with 24 shots on target out of 54 in 16 games for #ManUnited so far...a pretty good stats for a starter 😉
Klopp "the Normal one" vs Mourinho "the special one aka the Moaning one" itafanyika lini?
Ni OCTOBER 31...Sema ana fixtures ngumu, manake anaanza na spurs, then southampton, afu hapo katikat kuna Chelsea, crystal palace, swansea na Man city...hiyo game ya chelsea, spurs, Man city ni AWAY.
Hahaha kwani jamaa background yake alishawahi kuwa BONDIA.....?Kasema baada ya miaka 4 mtakuwa PL champions, wakati kapewa 3yrs contract. Tusubiri tuone ma atameza maneno yake. Jamaa ameanza na mbwembwe kama Mourinho. Afu huyu jamaa anaonekana anaweza kuweka mkono, kocha wa upinzani akimletea za kuleta anaweza kumtoa ngeu.
Kasema baada ya miaka 4 mtakuwa PL champions, wakati kapewa 3yrs contract. Tusubiri tuone ma atameza maneno yake. Jamaa ameanza na mbwembwe kama Mourinho. Afu huyu jamaa anaonekana anaweza kuweka mkono, kocha wa upinzani akimletea za kuleta anaweza kumtoa ngeu.
liverpool fans right now!!
Who is the best manager_klopp
who is going to win tz election?_klopp
1+1 _klopp!!
but kuhusu DEPAY unaweza ukaandika kitabu KIZIMA kuhusu stats zake na ukashindwa kuniconvince
Sema ana fixtures ngumu, manake anaanza na spurs, then southampton, afu hapo katikat kuna Chelsea, crystal palace, swansea na Man city...hiyo game ya chelsea, spurs, Man city ni AWAY.
I don't write to convince pal...
Hizo fixtures zina ugumu kwa the best football manager ever to exist on the Earth?!?
Mbona unaanza kuwa mdogo? Aisee, I can't wait to hear what Loserfools say about Klap if he doesn't maximum points from those games.
😂😂😂😂
Mjomba brendan rodgers alinifukiza jamii foru. Asee vp humu za miaka