Ed n Edd nEddy
JF-Expert Member
- May 3, 2011
- 5,345
- 6,078
Hongereni majogoo.. kwa kutoa sare
Ningeshangaa kama mkaanga sumu mwenzangu usingepita hapa....
Hivi Firminho bado yupo jamani au amerudi kwa mkopo alipotoka 😂😂😂
Cc: MosDef
Ha ha ha nakosaje sasa...
Hivi unawezaje kuivumilia timu yako
ambayo ni kimeo?
Ule mwaka mmoja wa Moyes, ulikua mgumu sana kwangu kisoka!!
Yupo mkuu aliumia tu