Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mtanisamehe kwa maandishi niliyoyatumia ila Bora niwe mkweli nitoe uchafu nilikuwa nayo niyatapike kuliko Kuwa fake ila Ukweli ni Brendan Rogers hafai kubaki hata kwa chembe tizama Man United hawajamlea Moyes kapigwa kibuti tizama kapigwa buti Morinho Chelsea wakati anafanya vizuri na soon game tatu zijazo Morinho anaweza kufukuzwa ila sie ndio tunazidi kulala na Brendan Rogers sasa katuachia mauozo kibao hakuna hata Player wa ku invest pale manager gani Blah Blah Blah nyingi tu oh Half ya kwanza tumekaba vizuri upuuzi tu Bora hata bus la Chelsea, timu nyingi zishatuona tumekuwa karatasi kuimwagia maji Bora ya hao Man U na ubovu wao wametufunga sie ndio kuonyesha sie ni karatasi kuimwagia maji sasa tuendelee na Rogers tunazidi Kuwa vichekesho tukishinda tunajisahau kuhusu BR Out aende tu Manager gani hata Manager of the Month zaidi ya 3 Hana.
 
"Football is a simple game made complicated by idi.ots." Bill Shankly.
 
Reactions: Nzi
Siamini kama kuna mtu anamchukia BR kama mimi.

Kama hawataki kumfukuza na yeye hakubali kufa, sijui tufanyeje??

Ona tunafungwa na beki. Keimamae sana!!

Yan huyo jamaa kanifanya nisiwe naangalia mechi za Liverpool!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…