Markovic anatakiwa apewe nafasi au Moreno achezeshwe kama LW...
Atleast yeye hajakusanya points 7 kwa own goal na deflection..
It seems he tries too much to be raheem rather than being himself. Na akiendelea na upuuzi huo itamgharimu
Sitoshangaa kama BR ataendelea kumpa nafasi na kummbania marko sababu I can see he is got faith on him.Na kuna wakati BR anapenda kutuzingua anapotwisha majukumu on young lads...Ile sub ya Rossiter na Lucas kwangu haikukaa poa kabisa
Benteke goal......the offside one......
Na wewe umekuwa kama medias zote za UK hasa Skysports manake mpaka leo wanaliongelea goal la benteke.:
Kwa Rossiter nadhan ilikuwa poa, Zaid ya Flanno hatuna Scouser mwingine kwnye team, so nadhan aliamua kufanya vile ili kuiboost confdence ya dogo, manake mwenyewe anasema alikuwa HAJUI kama atacheza..so imemsaidia ile, SG Aliingia kwenye team ya wakubwa akiwa na miaka 17 tu, huyu ana miaka 18, itabid tumjaribu kwanza, and to throw him kwenye game kubwa kama ile ni kuonyesha ni jinsi gani anaamika kwenye team, we tried this kwa Jay spearing but haikuleta matunda, lets see itakuwaje kwa Rossiter.
But, Good news ni kwamba LUCAS anabaki..na kwa IBE nadhan Marko angepewa nafas zaidi.
Talking ov man u out of EPL ground iz non sense,bring them back to hom yoo 'll realize the ability
Eti Liverpool wamepangwa na timu zipi katika UEFA CHAMPIONS LEAGUE hatua ya makundi leo.????
Eti Liverpool wamepangwa na timu zipi katika UEFA CHAMPIONS LEAGUE hatua ya makundi leo.????
GROUP Q
Liverpool
Ndanda FC
Nanja FC; na
Abajalo United