Nlikuwa najadiliana leo na mshabiki kindakindaki wa liver nakumuuliza kuwa "hivi huwa mnatumia kigezo gan kusajili??" akasema hana jibu maana anaona ni kama vile kocha na benchi lake wamepanic...
Huyu Allen angeumia kabsaa maana atasababisha wacheza wanaosataiki wakose namba huyu dogo mtasaaa apewe nafasi mechi ya juzi nimeona mwingine mipira michache alogusa nae nimemkubali sana