what I have learnt recently,....BR and James Pearce(of Liverpool ECHO) are the two most hated figures in Liverpool's fans forums....
James Pearce anampenda sana BR...that's why kopites hawamuelewi.....
FSG wamepewa Limbwata na BR..........HAWASIKII LA KUAMBIWA....
But I am sure this season 2015/16 ndo utakuwa msimu wa mwisho BR kuwa Manager wetu....
sometimes huwa najikuta namhurumia sana BR...he really wants to win something and prove himself at a big club...
the problem he's having is inexperience and EGO.....
he really likes to learn from his own mistakes....
Something that I ma sure it gonna cost him his job.....very soon...
Let's wait and see.....
ha ha ha ha ha ha ha haUnakutana na Heading Kwenye Echo inasema "Liverpool are eager to land a TOP striker at Anfield this summer" then mbele unaona "with Benteke named as their number 1 target...
AS IF that belgian Fucker is a TOP class ST..
Afu anatuambia ana Miaka 24, we Sura ngumu kama ile ikawe ipo hapa duniani tangu 1991 kweli???
Ile Hamasa yote baada ya signing ya Firmino, YOOOOTE imeyeyuka,
firmino ndio huyu aliyeshindwa isaidia timu yake copa america
Tuna Managers wawili ambao wote wana historia ya kutimuliwa kwenye clubs walizokuwa wanafundisha huko Championship..huyo kocha msaidiz alitimuliwa Bristol City, mwenzake Rodgers alitimuliwa Reading..
Team imeyumba last season, FSG labda wakahisi kuwa ni kwasababu ya signings na backroom, kwamba Committee inachukua nafas kubwa sana kwenye signings, (na ndo utetez wa Rodgers), so ili kuweka vitu sawa, FSG wakaona ngoja tumpe power zaid Rodgers kwenye usajili, Matokeo yake ndo hivyo tunaletewa Ings, Milner, Bogdan etc, and AM SURE firmino ni signing ya Committee kama Ilivyokuwa kwa Coutinho, Sturridge, Moreno, Can, Markovic, Sakho, Manquilo, Balotelli, Mignolet etc..yeye ndo katuletea Lovren, Lambert, Lallana (for £45m), Aspas, Borini, Allen, Luis Alberto, kolo toure, etc, hata Clyne ile syo signing ya Rodgers coz huwez ukawa umemsajili Clyne na Firmino then ukawa unamtaka Benteke..alikuwa anamtaka Trippier wa Burnley(kaenda spurs now I think) yule OVER clyne,
Juzi napitia news za LFC, naona Pearce anasema LFC are happy to let Bacca sign for AC MILAN, and wapo tayar kuspend £25m kwa Benteke..mtu ukisoma hivyo vitu unacheka tu, ukiachana na signing mbove ya benteke ni kwamba jamaa nae ni injury prone, last 2 seaons kacheza game 52-56, sturridge kacheza game 43-46, so unaona kabisa hawatofautiani sana kwa majeruh, asa unamleta huyo ST, then inafika kipind wote wanaumia, that means firmino atakuwa anacheza na Ings au Origi (hebu jaribu kupicture that Aisee)..
Haya, tumepiga chini Coaches, ngoja tumpe nafas bwana Rodgers atuchagulie kocha anayemtaka, ndo kaenda kutuletea hiyo TAKA TAKA, ije kuwafundisha kina Cou na Firmino..
Rodgers, mzee wa kufanya dreams za watu kuwa kweli, manake kafanya Aspas acheze LFC, Lambert arud nyumban, Lovren kucheza team anayoishabikia, Lallana kucheza LFC, Bogdan kuja LFC straight from Championship mpaka kwenye First team, Ings LOL..
AM CERTAIN kama bado TUTAKUWA NA RODGERS mpaka December na AKIWA AMEBORONGA (which is LIKELY) basi Tumsahau COUTINHO..
Watu wanasema SG alikuwa LOYAL, inaweza ikawa ukweli, lakin kwa enzi zake, alivyokuwa the Most in Demand Midfielder in Europe (with RM, Inter, AC milan, Chelsea etc Keen) na team yetu ingekuwa ni COMEDY kama sahiv, lazma angesepa TU, so me sitamlaumu Coutinho akiondoka for Barca or Madrid, he deserves better..
Ile Hamasa yote baada ya signing ya Firmino, YOOOOTE imeyeyuka,
Neymar ameisaidia?
Katika kikosi alichoachiwa na Kenny Dalglish msimu wa 2011/2012 Rogers kauza karibia wote kabakia na wawili tu Lucas na Strkel na Lucas kuna possibility ya kuondoka msimu huu
West brom, naona wapo interested kwa babu Lambert, wafanye waje wachukue huyu kiumbe, na yule Glassbone boy ameanza mazoezi mepesi, kwa trend hii Rogers hata sajili striker kabisa ata-stick na Origi,ings,D15 na Balo.
Namna ya kumsaidia Rogers ajifunze ni kuwa-sacked tu maana hakuna namna nyingine hivi kati ya Inter na liverpool kwa sasa vinatoauti gani? Tena Liverpool wapo vizuri financially kuliko inter kwenye usajili wana tu out-smart.
Bila kusumbuliwa na sterling hata firmino asingesajiliwa, issue kubwa ya Sterling ni vikombe hataki kustaafu kama Gerrard bila Epl medal. Sterling anataka mtu kama Suarez mbele someone he can look for at this early stage of his career. Sasa Rogers hata kujiongeza hataki anajua kabisa timu inahitaji ST anaeweza kufunga magoli yeye anenda kutuletea Ings ( hivi kafunga magoli mangapi huyu kwenye european championship U21 maana lazima tuanzie hapo). We have a long way to go. Honestly, we are mid-table team, leo hii tuna compete na Spurs kwenye usajili na wanatupa challenge ya kufa mtu, hatuwezi weka challenge na Chelsea, Arsenal, Man city na Man utd kwenye kusajili mchezaji yeyote tukashinda labda huyo mchezaji awe ana mapenzi binafsi na Liverpool.
Sasa huyu kocha wa timu ya watoto na hana experience na Epl ndo tunampa nafasi, uwezo wa assistant manager unachangia sana kwenye performance ya timu nzima kama mna kumbuka Chelsea walimtimua Wilkins ambaye alikuwa assistant manager kipindi cha Avram Grant na timu ilikuwa na mtokeo mabovu kuliko hata wakati akiwepo. Ndo hayo yanaenda kutokea kwa Rogers
Tungoje LABDA wanaweza wakafanya vizuri kuliko hivi tunavyofikiria
Rasmi tushamchukua
mna kazi sana na huyu manager wenu!Unakutana na Heading Kwenye Echo inasema "Liverpool are eager to land a TOP striker at Anfield this summer" then mbele unaona "with Benteke named as their number 1 target...
AS IF that belgian Fucker is a TOP class ST..
Afu anatuambia ana Miaka 24, we Sura ngumu kama ile ikawe ipo hapa duniani tangu 1991 kweli???
mmeanza kusajili hqd wachezaj wanaoitwa clinic bado zahanat[/QUOTE
Ttzo barca inakuaribu