2nd bid ya Clyne inakaribia kupelekwa southampton..
Ings kilichobaki ni annoucement tu..
Mipango ya msimu kutoka kwa some top reds ni BackUp GK (Matt Ryan and Bogdan(Shitty GK sadly), RB (Clyne), Milner and a BIG MONEY MIDFIELDER (we're trying for KOVACIC/other options), ings and BIG MONEY ST (Kuna 35m kwa ajili ya ST this summer)..
ST ambao wapo kwenye list
1. Lacazette
2. Aubameyang
3. Higuain
4. Vietto
5.Benteke
PSG imelodge bid kwa Lacca, but biashara itakuwa ngumu kutokana na upinzani wa hizi team mbili, vietto inasemekana anakaribia kutua ATM, Higuain and Aubameyang wapo TU, so ni kuomba sana Benteke aende chelsea, ili twende full kwa hawa player wengine...silaha kubwa ukiwa out of CL ni kulipa BIG WAGES.