Coates ni mzuri, nakumbuka sana goli lake vs Fulham. BR hana mpango nae kabisa piga hesabu ya centre backs tuliyo nao Toure,Lovren,Sakho,Illori,Skrtel na coates hapo kuna wengine wanatakiwa kuondoka
Coates sidhani kama atabakia liverpool, mkataba wake umebakia miaka 2 na hakuna maongezi yeyote na hapo unaenda kubakia mmoja
Hana imani na Rogers kabisa tangu alipomrudisha kwao kwa mkopo kuna kipindi alikuwa anataka arudi kabisa kwao aachane na liverpool
BR has screwed liverpool big time
Agger, Illori and Coates out... Kolo and Lovren in
Kelly out, Manquilo and Moreno in
Suarez out = Balo in
Reina out = Mignolet in
etc
Hii ya kung'ang'ania Sterling siyo kabis
Ilikuwa na QPR ile Loftus road pale, tulikufa 3-2 ile game..
Huyo Kolo naskia anapewa mkataba mpya wa mwaka mmoja..
Huko kote ananiboa ila kwa Sterling kazidi mtoto mdogo anamsumbua utafikiri pale academy hakuna upgraded version ya sterling. Huyu dogo nae afanye aende tu hata kuwa na amani na ego inamsumbua eti na yeye anataka wimbo wake kama Emre Can na coutinho wakati performance yake ni poor.
Hivi kulikuwa na haja ya kumuuza Kristopher Pietersson mbona alikuwa promising sana??
Ndo hivyo Coates anasepa maana hatuwezi kuwa na centre back sita kwenye timu. Nilichanganya mafaili hapo kwa fulham, hiyo si ndo cisse alipiga goli la ushindi kwa qpr?
Phillipe Coutinho has been named liverpool player of the year and liverpool player's player of the year. Janjaweed na yule mtoto wako watu wamemtolea uvivu wamemuzomea
Congratulations to our little magician his performance this year was superb
Hahahahaha!!!!
Manure utd wants STERLING...
Oooh!! Wait..I thought they've signed a world class Depay..NO????
LOL..
Its a media mockery now... Sterl will go to city or Bayern, sanasana chelseaHahahahaha!!!!
Manure utd wants STERLING...
Oooh!! Wait..I thought they've signed a world class Depay..NO????
LOL..
Kwenye Press mtamsikia BR atakavyokuwa anamsifia Coates (he's good lad) kama alivyokuwa akifanya kwa Assaidi na Suso halafu mwisho wa siku mnaujua alichowafanyia
Mimi bado nalia na FSG kumng'ang'ania huyu mpuuzi BR
Hivi ni kwanini alimuuza Assaid huyu mwehu? Mbona dogo alikuwa very promising winger? Duh! Ukistaajabu ya BR.......!!!
Mmm issue ya kumfukuza kocha sioni kwa sasa,Liverpool kunavitu vingi kuanzia kwenye Directors wa club,mpaka wachezaji wenyewe.
Ondoa performance ya timu,
Negotiation ya wachezaji zinavyochukuliwa Liverpool ni Tatizo la muda mrefu na alikuanza Jana au Leo Lipo tu wachezaji muhimu Wamekuwa wanaondoka tu pale Liverpool.
Kwakweli hata kama BR atafukuzwa alafu haka karahim kakabaki bado nitakuwa sina amani.Yani bora kubaki na BR kuliko kubakia na haka karahim.Ni kajinga sana aisee na hakana akili ya mpira.Eti nacho kanataka mataji na kushiriki uefa.Agger amekapa makavu kuwa kama ni mataji timu ilikuwa na nafasi kwenye FA lakini hiki kirahin kilikimbiakimbia tu.Kama ni ucl timu ilishiriki na haka kavuta shisha kalikuwemo na kaliishia kutoa ulimi nje tu.
Sikapendi sana haka kajamaa kwakweli na huwa sifurahi kakifunga.Kanataka kuforce 'ushuarezi' eti.
DUU KALI AGENT WA DOGOdogo hajui watu kama Owen na Toress waliondoka kwa vituko kama yeye na ndo ikawa laana ya maisha ya soka wakaenda potea huko