dogo umaarufu unampa kichwa sana;: just wait atakuja kuwa tu kama waingereza wenzake... yeye ni mmoja wa wachezaj wazembe sana uwanjan kwenye huu msimu na kacheza mechi karibia zote za lfc ila simwelewi kabisa
Hivi Liverpool tatizo ni kocha au ni wachezaji hawajitumu uwanjani swali langu ni hilo ndg zangu.
Jamie Carragher is fuming at the way Sterling has been going about his business.
Speaking on Sky Sports' Monday Night Football, he said: 'For a 20-year-old kid to be taking on Liverpool Football Club over a contract - to the pit of my stomach that just winds me up, it angers me.
'The lad is from London and he obviously wants to go back home. It might not be about money. It may be about trophies or playing in the Champions League.
'If it's about trophies, Liverpool had a chance for a trophy this year - in the FA Cup semi-final at Wembley against Aston Villa. Where was Sterling?
'If you want trophies, they don't get given to you, you have to earn them, you have to play well in big games.
'What did Liverpool do in the Champions League? Nothing. What did Raheem Sterling do? Nothing.
'To do what he's done now, there's nothing worse than that. You keep your mouth shut - get on with playing football.
'You can't have a 20-year-old kid going up to the club asking for this and that every year. It's your job to take the club to these places.'
Kwa muda mrefu nimekaa kimya nikipitia michango yenu wadau hapa jukwaani kwetu,sikutaka kuchangia chochote kwa vile tu sikuwa na jipya!
Kumekuwepo utaratibu wa kumtafuta mchawi wa timu yetu kwa muda mrefu sasa,na imefikiwa stage naona kama tumeanza kujichanganya wenyewe!
FSG.
Leo naomba niwatetee kwa nguvu zote hawa jamaa..kumekuwepo na malalamiko ya muda mrefu kuwa hawa jamaa hawaipi sapoti timu,SIYO KWELI. Tangu BR awe manager wa LFC,ametumia zaidi ya £230m kwa usajili,kwa kipindi cha miaka mitatu tu,aliyokaa LFC..hiyo pesa nani kaitoa? Sio FSG?
FSG wana sera yao ya usajili,na ipo wazi! Sera hiyo ilikuja baada ya kununuliwa wachezaji hovyo kwa bei chafu(Caroll,Downing,Henderson,Charlie Adam) pamoja na kuwaoffer unrealistic wages! Kama wafanyabiashara wakatafuta model nzuri ya recruitment,ndo ile policy yao ikaja! Kumbuka hawa jamaa waliichukua timu mwaka 2010,na sera yao ya usajili imekuja mwaka 2012(rejea barua ya J.W.HENRY to Liverpool FC supporters,september 2012.)
Mwaka 2013 wakati BR na transfer commitee yake wanamsajili Aspas na Luis Alberto kwa £12m,Christian Ericksen alikuwa available kwa €12m..wakati wanamsajili Balotelli kwa £16m,Remy alikuwa available for a half that price...wakati wanamsajili Lambert wakiwa na malengo ya kumfanya awe target man,akina Charlie Austin,walikuwa available! Sitaki kuongelea sana blunders za usajili,nimeishaziongelea sana humu! Swali langu,JE FSG waliwalazimisha akina BR0 kumsajili Origi wakati Paulo Dybala hakuwa hata approached? Hivi ile scouting inafanya kazi gani? Is that FSG fault?
Kwa ninavyofahamu,kazi ya FSG sio kufanya scouting wala kufanya negotiations,kazi yao ni kutoa funds tu na kuisimamia sera yao ya usajili! Sasa kama wanatimiza majukumu yao,wanalaumiwa kwa lipi? Last year wametoa around £117 za usajili,watu wameenda kumnunua Lallana(miaka 26) kwa £25m wakamuacha mchezaji kama scheiderlin,wameenda kumnunua Lovren kwa £20m wakamuuza Agger kwa €3m.(what a joke! ALEX SONG was there,hata kwa mkopo tu angekuja angesaidia kukaba).
Unamnunua Markovic kwa £20m,unamuacha Konoplyanka for a half price! Na bado FSG wanalalamikiwa,kwa kosa gani?
Kama kuna watu wanapaswa kuwajibika pale LFC,wa kwanza kbs ni Brendan Rodgers akifuatiwa na Ian Ayre,then Chief scout na head of recruitment! Usajili mbovu wote tangu kuja pale LFC wameufanya wao! Afu mnawaponda FSG ambao kiukweli wamekuwa wakitoa pesa za usajili za kutosha tu(JUST IMAGINE RB ANAPEWA £240 AFANYE USAJILI! Ndani ya miaka mitatu! Kwa policy ileile ya kusajili young with potential,angefanya usajili wa aina gani!
KOSA LA FSG.
Kama kuna kosa kubwa wamelifanya FSG,ni kumruhusu BR kufanya kazi bila ya DoF.and they are now paying the price for that! BR hakuwahi kuwa na uwezo wala experience ya kumanage team kubwa,kama LFC..alitakiwa kuwa chini ya DoF,whether he likes or not!
CONCLUSION.
BR and his mediocre transfer commitee can't be trusted anymore in transfer dealings! There are only two options available in which FSG should consider to take Liverpool FC forward,at the stage we are,
1.Sack BR and his transfer commitee(in exception of Ian Ayre,but Ayre should be kept away from transfers),and bring in experienced foreign manager who will deal with transfers under DoF.,
2.Leave BR,bring in DoF,who will be dealing with transfers!
YOU WILL NEVER WALK ALONE
The Magnificent.
cc Malafyale MosDef Pazi Janjaweed.......................................
If I were Raheem Sterling I'd have made the same decision.
Unless BR is sacked, the future at Anfield looks very gloomy
IN STERLING SITUATION.....
In my humble opinion I think it would be fair to say that as a professional decision it is definitely the right one for him to take. If one reviews this situation with a clear and objective head then it all makes sense:
1) He is not a born and bred LFC Academy player as he signed for us from QPR in 2010 when he was 15 going to 16 years old (born 1994). So you can't say that he has passion or dedication or pride in wearing our shirt. He is not a Gerrard or a Carragher. He is not a "red" and therefore he has no emotional connection with the club whatsoever - FACT.
2) He is 21 years old and already an established first team starter for the fifth best side of the most competitive (best?) league in the world. A Sterling-less starting Liverpool XI is definitely weaker than a starting Liverpool XI with Sterling in it - FACT.
3) Footballers CRAVE and LIVE for Champions League football. It's not just the fact that we have missed out this year it's the fact that it doesn't look like we will be qualifying for it any time soon - FACT.
4) A footballer's career is evaluated at 85% by the LEAGUE titles and Champions League titles which he has won or can win. These are also the ONLY trophies that really matter and both of these trophies are at LEAST 5-10 years away from being won by LFC - FACT.
5) Young footballers need their coach to be an inspirational figure and a born and established winner whilst at the same time they also need role models and inspirational figures amongst their teammates. LFC at the moment is lacking both - FACT.
6) MONEY - MONEY - MONEY - FACT.
So given all of the above I don't see why last year's Young Footballer of the year and one of Liverpool's top 3 performers this year should or would want to stay at LFC. Develop under who? Play along with whom? Get paid what? All the haters should stop being arrogant and you all need a reality check in terms of what we have become and not what we used to be as a footballing institution. As one other fan has already stated and as long as the above FACTS remain "it's gonna be Coutinho next year and Can the year after that and so on and so on".
This is our current reality. Accept it.
kwa muda mrefu nimekaa kimya nikipitia michango yenu wadau hapa jukwaani kwetu,sikutaka kuchangia chochote kwa vile tu sikuwa na jipya!
kumekuwepo utaratibu wa kumtafuta mchawi wa timu yetu kwa muda mrefu sasa,na imefikiwa stage naona kama tumeanza kujichanganya wenyewe!
fsg.
leo naomba niwatetee kwa nguvu zote hawa jamaa..kumekuwepo na malalamiko ya muda mrefu kuwa hawa jamaa hawaipi sapoti timu,siyo kweli. Tangu br awe manager wa lfc,ametumia zaidi ya £230m kwa usajili,kwa kipindi cha miaka mitatu tu,aliyokaa lfc..hiyo pesa nani kaitoa? Sio fsg?
fsg wana sera yao ya usajili,na ipo wazi! Sera hiyo ilikuja baada ya kununuliwa wachezaji hovyo kwa bei chafu(caroll,downing,henderson,charlie adam) pamoja na kuwaoffer unrealistic wages! Kama wafanyabiashara wakatafuta model nzuri ya recruitment,ndo ile policy yao ikaja! Kumbuka hawa jamaa waliichukua timu mwaka 2010,na sera yao ya usajili imekuja mwaka 2012(rejea barua ya j.w.henry to liverpool fc supporters,september 2012.)
mwaka 2013 wakati br na transfer commitee yake wanamsajili aspas na luis alberto kwa £12m,christian ericksen alikuwa available kwa 12m..wakati wanamsajili balotelli kwa £16m,remy alikuwa available for a half that price...wakati wanamsajili lambert wakiwa na malengo ya kumfanya awe target man,akina charlie austin,walikuwa available! Sitaki kuongelea sana blunders za usajili,nimeishaziongelea sana humu! Swali langu,je fsg waliwalazimisha akina br0 kumsajili origi wakati paulo dybala hakuwa hata approached? Hivi ile scouting inafanya kazi gani? Is that fsg fault?
kwa ninavyofahamu,kazi ya fsg sio kufanya scouting wala kufanya negotiations,kazi yao ni kutoa funds tu na kuisimamia sera yao ya usajili! Sasa kama wanatimiza majukumu yao,wanalaumiwa kwa lipi? Last year wametoa around £117 za usajili,watu wameenda kumnunua lallana(miaka 26) kwa £25m wakamuacha mchezaji kama scheiderlin,wameenda kumnunua lovren kwa £20m wakamuuza agger kwa 3m.(what a joke! Alex song was there,hata kwa mkopo tu angekuja angesaidia kukaba).
unamnunua markovic kwa £20m,unamuacha konoplyanka for a half price! Na bado fsg wanalalamikiwa,kwa kosa gani?
kama kuna watu wanapaswa kuwajibika pale lfc,wa kwanza kbs ni brendan rodgers akifuatiwa na ian ayre,then chief scout na head of recruitment! Usajili mbovu wote tangu kuja pale lfc wameufanya wao! Afu mnawaponda fsg ambao kiukweli wamekuwa wakitoa pesa za usajili za kutosha tu(just imagine rb anapewa £240 afanye usajili! Ndani ya miaka mitatu! Kwa policy ileile ya kusajili young with potential,angefanya usajili wa aina gani!
kosa la fsg.
kama kuna kosa kubwa wamelifanya fsg,ni kumruhusu br kufanya kazi bila ya dof.and they are now paying the price for that! Br hakuwahi kuwa na uwezo wala experience ya kumanage team kubwa,kama lfc..alitakiwa kuwa chini ya dof,whether he likes or not!
conclusion.
br and his mediocre transfer commitee can't be trusted anymore in transfer dealings! There are only two options available in which fsg should consider to take liverpool fc forward,at the stage we are,
1.sack br and his transfer commitee(in exception of ian ayre,but ayre should be kept away from transfers),and bring in experienced foreign manager who will deal with transfers under dof.,
2.leave br,bring in dof,who will be dealing with transfers!
you will never walk alone
the magnificent.
cc malafyale mosdef pazi janjaweed.......................................
Kwa muda mrefu nimekaa kimya nikipitia michango yenu wadau hapa jukwaani kwetu,sikutaka kuchangia chochote kwa vile tu sikuwa na jipya!
Kumekuwepo utaratibu wa kumtafuta mchawi wa timu yetu kwa muda mrefu sasa,na imefikiwa stage naona kama tumeanza kujichanganya wenyewe!
FSG.
Leo naomba niwatetee kwa nguvu zote hawa jamaa..kumekuwepo na malalamiko ya muda mrefu kuwa hawa jamaa hawaipi sapoti timu,SIYO KWELI. Tangu BR awe manager wa LFC,ametumia zaidi ya £230m kwa usajili,kwa kipindi cha miaka mitatu tu,aliyokaa LFC..hiyo pesa nani kaitoa? Sio FSG?
FSG wana sera yao ya usajili,na ipo wazi! Sera hiyo ilikuja baada ya kununuliwa wachezaji hovyo kwa bei chafu(Caroll,Downing,Henderson,Charlie Adam) pamoja na kuwaoffer unrealistic wages! Kama wafanyabiashara wakatafuta model nzuri ya recruitment,ndo ile policy yao ikaja! Kumbuka hawa jamaa waliichukua timu mwaka 2010,na sera yao ya usajili imekuja mwaka 2012(rejea barua ya J.W.HENRY to Liverpool FC supporters,september 2012.)
Mwaka 2013 wakati BR na transfer commitee yake wanamsajili Aspas na Luis Alberto kwa £12m,Christian Ericksen alikuwa available kwa 12m..wakati wanamsajili Balotelli kwa £16m,Remy alikuwa available for a half that price...wakati wanamsajili Lambert wakiwa na malengo ya kumfanya awe target man,akina Charlie Austin,walikuwa available! Sitaki kuongelea sana blunders za usajili,nimeishaziongelea sana humu! Swali langu,JE FSG waliwalazimisha akina BR0 kumsajili Origi wakati Paulo Dybala hakuwa hata approached? Hivi ile scouting inafanya kazi gani? Is that FSG fault?
Kwa ninavyofahamu,kazi ya FSG sio kufanya scouting wala kufanya negotiations,kazi yao ni kutoa funds tu na kuisimamia sera yao ya usajili! Sasa kama wanatimiza majukumu yao,wanalaumiwa kwa lipi? Last year wametoa around £117 za usajili,watu wameenda kumnunua Lallana(miaka 26) kwa £25m wakamuacha mchezaji kama scheiderlin,wameenda kumnunua Lovren kwa £20m wakamuuza Agger kwa 3m.(what a joke! ALEX SONG was there,hata kwa mkopo tu angekuja angesaidia kukaba).
Unamnunua Markovic kwa £20m,unamuacha Konoplyanka for a half price! Na bado FSG wanalalamikiwa,kwa kosa gani?
Kama kuna watu wanapaswa kuwajibika pale LFC,wa kwanza kbs ni Brendan Rodgers akifuatiwa na Ian Ayre,then Chief scout na head of recruitment! Usajili mbovu wote tangu kuja pale LFC wameufanya wao! Afu mnawaponda FSG ambao kiukweli wamekuwa wakitoa pesa za usajili za kutosha tu(JUST IMAGINE RB ANAPEWA £240 AFANYE USAJILI! Ndani ya miaka mitatu! Kwa policy ileile ya kusajili young with potential,angefanya usajili wa aina gani!
KOSA LA FSG.
Kama kuna kosa kubwa wamelifanya FSG,ni kumruhusu BR kufanya kazi bila ya DoF.and they are now paying the price for that! BR hakuwahi kuwa na uwezo wala experience ya kumanage team kubwa,kama LFC..alitakiwa kuwa chini ya DoF,whether he likes or not!
CONCLUSION.
BR and his mediocre transfer commitee can't be trusted anymore in transfer dealings! There are only two options available in which FSG should consider to take Liverpool FC forward,at the stage we are,
1.Sack BR and his transfer commitee(in exception of Ian Ayre,but Ayre should be kept away from transfers),and bring in experienced foreign manager who will deal with transfers under DoF.,
2.Leave BR,bring in DoF,who will be dealing with transfers!
YOU WILL NEVER WALK ALONE
The Magnificent.
cc Malafyale MosDef Pazi Janjaweed.......................................
Kwa muda mrefu nimekaa kimya nikipitia michango yenu wadau hapa jukwaani kwetu,sikutaka kuchangia chochote kwa vile tu sikuwa na jipya!
Kumekuwepo utaratibu wa kumtafuta mchawi wa timu yetu kwa muda mrefu sasa,na imefikiwa stage naona kama tumeanza kujichanganya wenyewe!
FSG.
Leo naomba niwatetee kwa nguvu zote hawa jamaa..kumekuwepo na malalamiko ya muda mrefu kuwa hawa jamaa hawaipi sapoti timu,SIYO KWELI. Tangu BR awe manager wa LFC,ametumia zaidi ya £230m kwa usajili,kwa kipindi cha miaka mitatu tu,aliyokaa LFC..hiyo pesa nani kaitoa? Sio FSG?
FSG wana sera yao ya usajili,na ipo wazi! Sera hiyo ilikuja baada ya kununuliwa wachezaji hovyo kwa bei chafu(Caroll,Downing,Henderson,Charlie Adam) pamoja na kuwaoffer unrealistic wages! Kama wafanyabiashara wakatafuta model nzuri ya recruitment,ndo ile policy yao ikaja! Kumbuka hawa jamaa waliichukua timu mwaka 2010,na sera yao ya usajili imekuja mwaka 2012(rejea barua ya J.W.HENRY to Liverpool FC supporters,september 2012.)
Mwaka 2013 wakati BR na transfer commitee yake wanamsajili Aspas na Luis Alberto kwa £12m,Christian Ericksen alikuwa available kwa 12m..wakati wanamsajili Balotelli kwa £16m,Remy alikuwa available for a half that price...wakati wanamsajili Lambert wakiwa na malengo ya kumfanya awe target man,akina Charlie Austin,walikuwa available! Sitaki kuongelea sana blunders za usajili,nimeishaziongelea sana humu! Swali langu,JE FSG waliwalazimisha akina BR0 kumsajili Origi wakati Paulo Dybala hakuwa hata approached? Hivi ile scouting inafanya kazi gani? Is that FSG fault?
Kwa ninavyofahamu,kazi ya FSG sio kufanya scouting wala kufanya negotiations,kazi yao ni kutoa funds tu na kuisimamia sera yao ya usajili! Sasa kama wanatimiza majukumu yao,wanalaumiwa kwa lipi? Last year wametoa around £117 za usajili,watu wameenda kumnunua Lallana(miaka 26) kwa £25m wakamuacha mchezaji kama scheiderlin,wameenda kumnunua Lovren kwa £20m wakamuuza Agger kwa 3m.(what a joke! ALEX SONG was there,hata kwa mkopo tu angekuja angesaidia kukaba).
Unamnunua Markovic kwa £20m,unamuacha Konoplyanka for a half price! Na bado FSG wanalalamikiwa,kwa kosa gani?
Kama kuna watu wanapaswa kuwajibika pale LFC,wa kwanza kbs ni Brendan Rodgers akifuatiwa na Ian Ayre,then Chief scout na head of recruitment! Usajili mbovu wote tangu kuja pale LFC wameufanya wao! Afu mnawaponda FSG ambao kiukweli wamekuwa wakitoa pesa za usajili za kutosha tu(JUST IMAGINE RB ANAPEWA £240 AFANYE USAJILI! Ndani ya miaka mitatu! Kwa policy ileile ya kusajili young with potential,angefanya usajili wa aina gani!
KOSA LA FSG.
Kama kuna kosa kubwa wamelifanya FSG,ni kumruhusu BR kufanya kazi bila ya DoF.and they are now paying the price for that! BR hakuwahi kuwa na uwezo wala experience ya kumanage team kubwa,kama LFC..alitakiwa kuwa chini ya DoF,whether he likes or not!
CONCLUSION.
BR and his mediocre transfer commitee can't be trusted anymore in transfer dealings! There are only two options available in which FSG should consider to take Liverpool FC forward,at the stage we are,
1.Sack BR and his transfer commitee(in exception of Ian Ayre,but Ayre should be kept away from transfers),and bring in experienced foreign manager who will deal with transfers under DoF.,
2.Leave BR,bring in DoF,who will be dealing with transfers!
YOU WILL NEVER WALK ALONE
The Magnificent.
cc Malafyale MosDef Pazi Janjaweed.......................................
Di Marzio saying we've contacted Klopp and Benitez..
This story is too good to be true, and typical of american conspiracy mongersJanjaweed The Magnificent Pazi Malafyale mr wise Ed mak89 hebu jaribu kuipitieni hii article hapa...
FSG Sack Liverpool Manager Rodgers