Unahangaika sana na wewe... Unakera
Sheria za jf sawa lakini unakera
Unaboa kichizi acha ushamba
Teh teh teh... Boya at work
You call it whatever you like and dream of...I don't give a damn as long as I adhere to JF rules bro...
It's a free world bro...if wanna make this thread exclusive to Loserfools then ask JF to do so...otherwise start your own exclusive Loserfools' JF wannabe or just take and swallow it..
sawa umeeleweka... kiustaarabu zaidi ujue unakera
we can tolerate each gently ila ikifika wakati unakua nuisance lazima uambiwe
kuhusu kuanzisha JF liverpool sina muda huo, wala uwezo huo,
ustaarabu hauna sheria!!
Kama mnapenda kuona watu wanaandika vitu mnavyotamani kuviona, narudia tena, anzisheni Liverpool's exclusive JF thread...mimi siwezi kwenda kwenye media fora za Liverpool kusema ninayoyasema hapa, kwani hizo ni exclusive kwa Liverpool.
true that, 15M a year for Falcao, 67M for Di Maria and 30M for Shaw... that is top signing!!
30 M for Depay
Nosense at all
i think they paid 25M... right??
Who are the hell are you to tell me what to write? And where to write?
I can write anything and anywhere as long as I don't break JF rules.
I don't need to do something to show that I have class in this imaginary world..to hell with your class baloney.
Kama wewe na wenzako hamwendi 'kunyea' kwingine ni shauri lenu. Kwa hiyo unataka nifanye kama mnavyofanya nyiye ili niwaonyeshe kwamba I have class? What the heck? What kinda logic is this?!?
30 M for Depay
Nosense at all
Over priced
Another Di Maria in making
Over priced
Another Di Maria in making
umeanza uchokozi:becky::becky:
msimu wetu umeshaisha
Hahahaha!! Duh! Hali yetu na yenu msimu huu imepishana kidogo tu kwa kweli msimu huu uishe tu.....kila la heri kwa mechi ya leo....
Kaka, nimeshasema kuwa kama nawakera nipotezeeni tu...
Kila mtu ana ustaarabu wake...kama unaona mimi si mstaarabu, basi sawa..mimi sijali hata kidogo, kwani jambo lolote nililofanya kinyume na utaratibu wowote ule...
Kama mnapenda kuona watu wanaandika vitu mnavyotamani kuviona, narudia tena, anzisheni Liverpool's exclusive JF thread...mimi siwezi kwenda kwenye media fora za Liverpool kusema ninayoyasema hapa, kwani hizo ni exclusive kwa Liverpool.
Ila kwa hii JF, bro utahangaika bure kunitaja na kunipa majina yote unayoyajua, ila hutonibadilisha hata punje..
Kuwa nuisance ni suala relative sana...na ambalo mtu binafsi anaweza kuli-control pasipo kusubiri anayeleta hiyo 'nuisance' kuacha kuleta nuisance..
Nimeuliza kosa langu ni lipi?!? Sijapewa jibu! Nimesema niambiwe kosa ili niombe radhi!