Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Tusali na kufunga jamani!Wembley si sehemu ya mchezo hata kidogo

Dada yangu everlenk anaweza hadi watoto wake wakaanza Secondary team yake haijakanyaga Wembley
 
Last edited by a moderator:
Tusali na kufunga jamani!Wembley si sehemu ya mchezo hata kidogo

Dada yangu everlenk anaweza hadi watoto wake wakaanza Secondary team yake haijakanyaga Wembley

Hahahaha kaka yangu bana!! Tumerudi kwenye form vitu kama hivi vitakuwa vidogo sana kwetu, kama kawaida ninalia na Mwenyezi akufute machozi yako usahau uchungu wako...... Kila la heri bro....
 
Last edited by a moderator:
Hahahaha kaka yangu bana!! Tumerudi kwenye form vitu kama hivi vitakuwa vidogo sana kwetu, kama kawaida ninalia na Mwenyezi akufute machozi yako usahau uchungu wako...... Kila la heri bro....

dada ever ​ kumbe huku unapatiakana alaa kumbe ni katika sisi eeeee
 
Dan arudi August fit,kwa sasa League kwake tuhesabu kama imeisha

Kwangu ningekua nafasi ya BR ningemuuza tu uyu DS na kutafuta watu wa maana kama kina Lacazzete, Icard, Jackson Martinez na wengineo!!Yaani ki ujumla my plan ingekua to strengthen and restructure the forward line ningeacha Origi tu anayerudi toka loan na kuingia sokoni. I Can't imagine eti mtu ambaye ni top scorer wetu ana goli sijui 7 msimu huu.
Uyu DS15 ili tatizo ni kama la kudumu kwake aiseee, hata ye mwenywe alishasema helewi miguu yake ina nini.
 
Bad news:
Lucas Leiva ruled out of FA semi final,daaah hili ni pengo kubwa sana

Tuzidi kusali na kuomba
 
The team #lfc come on
 
Attachments

  • 1429449062848.jpg
    1429449062848.jpg
    42.4 KB · Views: 72
Tunashukuru kwa sala zako ingawaje sidhani kama nyie mtacheza Wembley kwa miaka ya hii karibuni

Mwakani tupo......

Leo humu kumepoza sanaaa si kawaida yenu yaani mmekuwa hovyo hadi mashabiki mnaiogopa timu yenu....lol
 
Hatupo kwenye kiwango chetu hadi dakika hii lkn Liverpool itaenda FAINALI
 
Moreno, Allen, Sakho, Lovren, Sturridge, Balo, Lambert.....all these out next season.

Sakho & Sturridge are just too prone to injury - they are becoming a liability now.
 
Mwakani tupo......

Leo humu kumepoza sanaaa si kawaida yenu yaani mmekuwa hovyo hadi mashabiki mnaiogopa timu yenu....lol

Wamepoa kama kuku aliyenyeshewa na mvua. khe khe khe he khe khe khe khe he kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee no updates as if nothing is happening.

Ngoja chie wengine tuangalie mambo ya Bahrain ... ....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom