Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Simon Mignolet: Choosing between FA Cup and top four finish for Liverpool is like picking one parent over the other

Echo wame Confirm kuwa Aspas, GJ, Brad Jones, Borin will be leaving!

Nadhan, Lambert, Kolo Toure, JE, wataondoka pia!!

So we'll be needing New backup RCB, RB, DM and ST! Na keeper pia! But we're linked with Milner (long term target LOL) and Ings.
 
Mavituz ya Rafa haya since 2010...

Inter Milan
Supercoppa Italiana (1): 2010
FIFA Club World Cup (1): 2010

[ChelseaB][/B]
UEFA Europa League (1): 2012–13

Napoli
Coppa Italia (1): 2013–14
Supercoppa Italiana (1): 2014

Nlisemaga humu, bora kutolewa mapema Europa, coz tungekutana na Benitez angetuaibisha sana, na hakuna kitu ambacho kingeuma kama kufungwa na Benitez, manake BR asingeweza kumfunga Benitez kabisa!

Hao Wolfsburg waliopigwa 4, wapo kwenye kiwango kizuri tu, lakin tungekutana nao sisi wangetupiga without a doubt, me kwa upande wangu nlikuwa naogopa aibu nyingine baada ya kunyanyaswa na Basel, na kocha wako kupeleka team ya kishenz kule madrid, at that time nlijiuliza kama BR anajua heshima ya LFC kwenye UCL, but at the end nlikuwa proud kuona kina Borin walivyocheza na kuruhusu goal moja, ndo team yangu hyo, ntafanyaje sasa!

Tungekutana na Napoli, ingekuwa ni aibu nyingine kwenye Europe competitions!
 
Echo wame Confirm kuwa Aspas, GJ, Brad Jones, Borin will be leaving!

Nadhan, Lambert, Kolo Toure, JE, wataondoka pia!!

So we'll be needing New backup RCB, RB, DM and ST! Na keeper pia! But we're linked with Milner (long term target LOL) and Ings.

Nimesikia FSG wanataka ku-save some money kwenye wages around £40 million

Haka ndo kamsimamo ka FSG

"We will build and grow from within, buy prudently
and cleverly and never again waste resources on
inflated transfer fees and unrealistic wages. We
have no fear of spending and competing with the
very best but we will not overpay for players"

niliona pia kama Lambert ataenda Aston (kama sijakosea) pia wanataka kumpa nafasi MB kwa timu itakayo jitokeza
 
Katika Transfer market kuna Vitu viwili VIKUBWA, Bids na Wages, na hapo utapata vitu viwili tofauti, kuna wachezaji ambao wanauzwa kwa hela nyingi lakin Wage demands zao zinakuwa ni ndogo, na kuna Wachezaj ambao wanauzwa hela nyingi na wage demands zao zinakuwa kubwa vile vile, pia kuna wale ambao wanauzwa hela ndogo but will demand hela nying kwenye wages na pia kuna wale ambao wanakuwa free agents wapo wanaokubali kukatwa mshahara na wapo wanaodemand hela Nyingi kwenye Wages!!

Sasa kwa Circumstance hiyo, ili kupata wachezaji ambao wanauzwa hela nying lakin wage demands ni ndogo, unahitaji huwa na DOF pamoja na Skilled negotiator, hawa skilled negotiator wapo sana Madrid, Chelsea na Spurs, LFC skilled negotiator wetu alikuwaga ni BENITEZ mwenyewe (waulize Valencia kuhusu saga ya Reina, hawatosahau), lakin sahiv hatuna, hawa huwa wanaanza kwanza na mchezaji mwenyewe, baada ya kuclose makubaliano wanahamia kwa owner au president wa Club husika kwanza, then wakishaelewana wanatangaza wanapeleka bid kwenye club afu wanavujisha habar kwenye media kuwa mchezaji yupo interested na Move, kinachobakia hapo ni second phase ya maelewano ya club mbili kwa ujumla asa kwa team ambazo hazina the rightful owners! Hii technique huwa inafanikiwa kwa asilimia 89%, nakupa mfano kuhusu Willian, jamaa si ndo tulikuwa tunamtaka, tukawa tumestuck kwenye bid, willian hakuwa na matatizo kwenye wages, spurs (levy) akasoma mchezo akajua tatizo ni bid tu, akaenda front, tajir wa Anzh akaachia mzigo, chelsea ambao walikuwa wanajifanya wapo silent kuhusu Willian, walivyoona Levy kafanikiwa, wakajua FSG kashindwa tu kwenye bid, but kwa upande mwingine willian alikuwa tuseme kishakamilisha deal lake na Spurs, so Chelsea wanafanyaje kumuHijack skilled negotiator kama Levy?, wakaenda straight kwa willian's Agents, haikuchukua muda, agent akablock move ile, walipomaliza huku kwa willian na Agent wake, wakamwambia mrusi mchek mrus mwenzako atupe mzigo, mwisho wa Siku Levy akatoka mweupe, asa vipofu FSG walipoona BR analalamika sana kwenye media wakarud kwenye race, asa kina Ayre baada ya kuanza na Agent kuangalia kama wanaweza kumvutia na proposal mpya, wenyewe wakaenda str8 kwa owner, kama kawaida yao wakavujisha habar kwenye Echo, Jose kuona hivyo, kesho yake kwenye Presser akasema "willian is a chelsea player", hapo ukawa ni usajili wa3-4 wa Ayre kufail.

Tulienda kubid ATM wakat Costa yupo Holday Brazil, mwenyewe anaulizwa hizo habar akawa gutted, sawa LFC ni big club, but lazima uanze kunegotiate na kambi ya mchezaj kwanza, coz hata ATM walivyopiga chini bid yetu, Costa hakuwa na cha kufanya, angefanya nini, wakat watu wameweka bid afu ndo waje kuongea nae? Na ATM walitangaza kuipiga chini bid baada ya kugundua LFC hawajaongea bado na Costa!

Ayre msimu huu kafanikisha baadh ya signings, kwa kutumia skills za spurs na chelsea, Moreno, Lallana, Lovren (but walikuwa wanafanya open sana, ndo uliona So'ton walisumbua sana), kwa Markovic walienda straight kwa uongozi, club ikamtaarifu agent, Markovic ndo akapewa hizo taarifa!! Asa kama kungekuwa na Club nyingine inamtaka, tungemkosa!

FSG wamefail katika bids na Wages, Policy yao inahitaj negotiator mzuri, but negotiator wetu ni Ayre ambaye alifanya negotiations na kambi ya Salah kwa miezi 11, while It took chelsea 48 hours to complete salah's transfer, but FSG hawakuona hilo tatizo!

Summer ya sahiv itakuwa very interesting! Wanaondoka na Wanaoingia!
 
Just saw Squawka analyzng stats za Fabregas na Coutinho, kitu ambacho ni Pointless kabisa!

COUTINHO kachaguliwa na Proffesionals wenzake na watu wanaojua mpira, they could've picked fabregas over Cou kama stats ndiyo kila kitu!

Stats means nothing kwenye Soccer, kama stats ndo kila kitu Lallana alitakiwa awe ahead of Cou kwenye PFA nominations, coz ana stats nzuri kuliko Cou pale LFC msimu huu, Mignolet ana clean sheets nyingi kuliko De Gea, but hiyo haimfany awe keeper bora zaid ya De gea, Cou, Ozil, Mata, Erkssen etc wana stats nzuri kuliko Iniesta this season ( hata last season Ramsey alikuwa na stats nzuri kuliko LUJAN) lakin wana influence kubwa kwenye team zao kuliko ile ya iniesta?? Tunaweza kusema wao ni bora kuliko iniesta kupitia hizo Stats????

Influence ya Fab ipoje pale Chelsea??, akikosekana Team inapotea??? Kuanzia december form yake ilipanda au ilishuka??? Alikuwa kwenye kiwango kile kile??? Coutinho yupo LFC akiwa na mpira watu wanaompigia makelele kuomba pass ni kina Lambert, Henderson, Allen, Balotelli, Borin, GJ, Danny etc, Fabregas akiwa na mpira anapigiwa makelele na kina Hazard, Costa, Matic, Willian, etc, but fabregas anauwezo wa kufungua vyumba na kuutawanya akiwa katika speed ya hatar huku mbele yake akiwepo Lambert anaomba mpira???, kitu kingine nan alishuka kwenye Form kati ya hawa wawili msimu huu???

Player of the year, ni yule ambaye kaperfome vizuri kwa msimu husika, haijalishi ubora wake, ndo maana unamuona Kane over Aguero japokuwa wote tunajua Aguero ndo ST bora pale England, lakin Overall perfomance yake ilikuwaje kulinganisha na Kane???, Giroud angekuwa na moto huu aliokuwa nao sahiv tangu league inaanza lazima angekuwa up there!

Stats ni kitu kidogo sana katika soccer, mtu kama Fonte ana stats nzuri kuliko Kompany, skritel etc, but ni kwasababu ana viungo wazuri pale so'ton kulinganisha na LFC au Man city!

Fabregas kwangu atabakia kuwa One of the Great Passer katika mpira wa Miguu, na ni mmoja kati ya wachezaj walioperfome sana this season, But Coutinho kapiga sana mpira msimu huu, the kid wants to establish himself as a LFC legend akiwa katka the famous red jersey, he's only 22, and we bought him for just €8m ffs, and he's only GETTING BETTER.
 
The sad Part about this Cou's issue ni kwamba waliompigia kura ni wachezaji wenzake (proffesional players) kutoka Arsenal, spurs, Man utd, Man City, So'ton, EVERTON, Westham, Stoke City, West brom, Chelsea, Sunderland, AVC, Hull, Swansea, CP, QPR, Leceister City, Burnley, magpies, etc...
 
That's why I like Jose Mou, Always speaks the TRUTH!
html>
<head><title>301 Moved Permanently</title></head>
<body bgcolor="white">
<center><h1>301 Moved Permanently</h1></center>
<hr><center>nginx</center>
</body>
</html>
 
Echo wame Confirm kuwa Aspas, GJ, Brad Jones, Borin will be leaving!

Nadhan, Lambert, Kolo Toure, JE, wataondoka pia!!

So we'll be needing New backup RCB, RB, DM and ST! Na keeper pia! But we're linked with Milner (long term target LOL) and Ings.
We don't need no more fooking English mediocrity!!

Get a bloody Matuidi and the like onboard fast - at any freaking cost!
 
Nimesikia FSG wanataka ku-save some money kwenye wages around £40 million

Haka ndo kamsimamo ka FSG

"We will build and grow from within, buy prudently
and cleverly and never again waste resources on
inflated transfer fees and unrealistic wages. We
have no fear of spending and competing with the
very best but we will not overpay for players"

niliona pia kama Lambert ataenda Aston (kama sijakosea) pia wanataka kumpa nafasi MB kwa timu itakayo jitokeza

Mkuu hawa Wamerakani ni majanga matupu kwa timu yetu. Yaani mi hapa huwaga naomba kila siku Mwarabu au Mrusi mmoja atokee from nowhere achukue hii timu.

Hatuwezi kuendelea kutambiwa na hivi vitoto (Chelsea, ManCity, etc) - tunahitaji kurudi kwenye nafasi na hadhi yetu na hilo linahitaji investment ya no less than £250M.
 
Katika Transfer market kuna Vitu viwili VIKUBWA, Bids na Wages, na hapo utapata vitu viwili tofauti, kuna wachezaji ambao wanauzwa kwa hela nyingi lakin Wage demands zao zinakuwa ni ndogo, na kuna Wachezaj ambao wanauzwa hela nyingi na wage demands zao zinakuwa kubwa vile vile, pia kuna wale ambao wanauzwa hela ndogo but will demand hela nying kwenye wages na pia kuna wale ambao wanakuwa free agents wapo wanaokubali kukatwa mshahara na wapo wanaodemand hela Nyingi kwenye Wages!!

Sasa kwa Circumstance hiyo, ili kupata wachezaji ambao wanauzwa hela nying lakin wage demands ni ndogo, unahitaji huwa na DOF pamoja na Skilled negotiator, hawa skilled negotiator wapo sana Madrid, Chelsea na Spurs, LFC skilled negotiator wetu alikuwaga ni BENITEZ mwenyewe (waulize Valencia kuhusu saga ya Reina, hawatosahau), lakin sahiv hatuna, hawa huwa wanaanza kwanza na mchezaji mwenyewe, baada ya kuclose makubaliano wanahamia kwa owner au president wa Club husika kwanza, then wakishaelewana wanatangaza wanapeleka bid kwenye club afu wanavujisha habar kwenye media kuwa mchezaji yupo interested na Move, kinachobakia hapo ni second phase ya maelewano ya club mbili kwa ujumla asa kwa team ambazo hazina the rightful owners! Hii technique huwa inafanikiwa kwa asilimia 89%, nakupa mfano kuhusu Willian, jamaa si ndo tulikuwa tunamtaka, tukawa tumestuck kwenye bid, willian hakuwa na matatizo kwenye wages, spurs (levy) akasoma mchezo akajua tatizo ni bid tu, akaenda front, tajir wa Anzh akaachia mzigo, chelsea ambao walikuwa wanajifanya wapo silent kuhusu Willian, walivyoona Levy kafanikiwa, wakajua FSG kashindwa tu kwenye bid, but kwa upande mwingine willian alikuwa tuseme kishakamilisha deal lake na Spurs, so Chelsea wanafanyaje kumuHijack skilled negotiator kama Levy?, wakaenda straight kwa willian's Agents, haikuchukua muda, agent akablock move ile, walipomaliza huku kwa willian na Agent wake, wakamwambia mrusi mchek mrus mwenzako atupe mzigo, mwisho wa Siku Levy akatoka mweupe, asa vipofu FSG walipoona BR analalamika sana kwenye media wakarud kwenye race, asa kina Ayre baada ya kuanza na Agent kuangalia kama wanaweza kumvutia na proposal mpya, wenyewe wakaenda str8 kwa owner, kama kawaida yao wakavujisha habar kwenye Echo, Jose kuona hivyo, kesho yake kwenye Presser akasema "willian is a chelsea player", hapo ukawa ni usajili wa3-4 wa Ayre kufail.

Tulienda kubid ATM wakat Costa yupo Holday Brazil, mwenyewe anaulizwa hizo habar akawa gutted, sawa LFC ni big club, but lazima uanze kunegotiate na kambi ya mchezaj kwanza, coz hata ATM walivyopiga chini bid yetu, Costa hakuwa na cha kufanya, angefanya nini, wakat watu wameweka bid afu ndo waje kuongea nae? Na ATM walitangaza kuipiga chini bid baada ya kugundua LFC hawajaongea bado na Costa!

Ayre msimu huu kafanikisha baadh ya signings, kwa kutumia skills za spurs na chelsea, Moreno, Lallana, Lovren (but walikuwa wanafanya open sana, ndo uliona So'ton walisumbua sana), kwa Markovic walienda straight kwa uongozi, club ikamtaarifu agent, Markovic ndo akapewa hizo taarifa!! Asa kama kungekuwa na Club nyingine inamtaka, tungemkosa!

FSG wamefail katika bids na Wages, Policy yao inahitaj negotiator mzuri, but negotiator wetu ni Ayre ambaye alifanya negotiations na kambi ya Salah kwa miezi 11, while It took chelsea 48 hours to complete salah's transfer, but FSG hawakuona hilo tatizo!

Summer ya sahiv itakuwa very interesting! Wanaondoka na Wanaoingia!

Spot on MosDef.

Owners wanatakiwa wawe wana-take lead kwenye haya masuala muhimu ya usajili. Pamoja na kuwa na experienced coaches kama Mourinho, etc, tumeshuhudia on various occasions Abramovich mwenyewe akiwa frontline.

Kick FSG out!
 
Good brother MosDef

Bado nasubiri hii summer itakuaje? Kiukweli tunahitaji another ST sababu nimesikia Sturridge game ya sunday ni hatihati kucheza (I'm not sure sana)
 
Last edited by a moderator:
Mkuu hawa Wamerakani ni majanga matupu kwa timu yetu. Yaani mi hapa huwaga naomba kila siku Mwarabu au Mrusi mmoja atokee from nowhere achukue hii timu.

Hatuwezi kuendelea kutambiwa na hivi vitoto (Chelsea, ManCity, etc) - tunahitaji kurudi kwenye nafasi na hadhi yetu na hilo linahitaji investment ya no less than £250M.

Mkuu Tisha- toto una wazo kama langu we need good owner and good negotiator to attract best player
 
Last edited by a moderator:
Good brother MosDef

Bado nasubiri hii summer itakuaje? Kiukweli tunahitaji another ST sababu nimesikia Sturridge game ya sunday ni hatihati kucheza (I'm not sure sana)

Danny hatakiwi kuanza kabisa, atakuwa mzigo tu mbele kule, jamaa hayuko fit kabisa, I'd rather have front three ya SG, raheem and Markovic, kuliko Danny kuanza!
 
Last edited by a moderator:
Dah, sintoshangaa Napoli hii ya Benitez ikichukua hii ndoo.

Huyu jamaa hapendagi kutoka mikono mitupu mwishoni mwa msimu.

Tangu 2010 ametoka mikono mitupu msimu mmoja tu wa 2011 ambao kama sikosei alikuwa hana timu. Jamaa kwa kutengeneza CV ni hatari!

Kwa kiwango kile cha juzi na Wolfs hawa Napoli watabeba UEFA warudi CL mwakani

Goli lile la Higuain ni best goal kwa kweli!Liverpool wakimfuata Higuain anakuja
 
Flanno Injured AGAIN!!!

Naskia Man City wana strong INTEREST na Flanno!

Dogo kagomea mshahara wa 35K anataka around 40K!!

Kwangu mimi nadhani Yupo Reasonable!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom