Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Vote
vote
vote
vote
vote
vote
vote
vote
vote
vote
vote
vote
vote
vote
vote
vote
vote
 
11113576_672999466145497_8653447521994584379_n.jpg
 
Klopp anaondoka BVB!

Ndo maana huwa sipend kuona City ikizingua EPL, huyo Klopp ataishia City tu, na ndo utakuwa mwanzo wa kina Reus kwenda nae huko, bora Macity yangebaki na form yao ile ile, yatasajili watu wa maana sana sahiv, si wengine na team yetu hii sijui tutaendelea kuwa wapi!
 
Mfumo wa Klopp ungewafaa sana hao wamarekani wenu (FSG) angewatemgenezea hela nyingi sana na possible kuwapa mataji
 
Kwa sasa sioni BR akiondoka pale, labda mambo yabadilike, LAKINI Klopp ndiyo Kocha ambaye FSG wanatakiwa wamuanglie kama (na wenyewe wanataka mafanikio)

Lakini Jamaa nahisi anaenda CITY yule!
 
Kwa falsafa yake ya mpira mna nafasi kubwa sana ya kumchukua kuliko City
 
Tatizo amekuwa available wakati ambao Man City tayari wameshaamua kumtimua Pelegrini na wanataka kujenga timu upya (kocha na wachezaji wapya) .Kuna possibility kubwa wachezaji kama Reus,Hummels,Gundogan,Mikhitarian,Bender nao wakaamua kuondoka otherwise kama yeye mwenyewe atawagomea Man City.Ancelotti naye kibarua chake hakieleweki Real Madrid nao wanaweza wakaingia vitani
 
Nadhani akipewa choice atachagua Liverpool over City
Pale City kuna Director of football na vijitu vingine juu ya kocha ambao kwa kiasi kikubwa ndio wanahusika na scouting and recruitment of new players, kocha analetewa wachezaji afanye nao kazi na hana sauti kubwa sana kwenye hilo, refer the signing of Wilfley Bonny
Wakati Liverpool BR ni club manager kwa maana halisi ya hiyo tittle, mazingira ya kazi ya Liverpool ni mazuri sana kwake kufanya kazi nzuri kuliko City, huwa anafanya kazi kwa budget ndogo sana lakini kwa mafanikio makubwa sana
Hao wachezaji kwa kweli wanaweza kukatishwa tamaa na kocha wao kuondoka na watapatikana na bei chee
 
Humels kuna tetesi alishasema ataondoka,Reus walimwongezea mkataba ili wamuuze kwa bei nzuri.Still naona kuna posibility kubwa Klopp kutua Real Madrid kuliko klabu nyingine kama Ancelotti atakosa kombe
 
CCoqoqUWgAA8ntY.jpg:small
CCoqnS3WYAAXtcm.jpg:small

Brendan Rodgers and Liverpool FC players have arrived at Anfield for the Hillsborough memorial service
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom