Live Updates: Tanzania Vs Ivory Coast – World Cup Qualification 2014, June 16, 2013

Live Updates: Tanzania Vs Ivory Coast – World Cup Qualification 2014, June 16, 2013

Goli la kuchukiza kabisa hili.....Uzembe wa mabeki....

Ngoma imelala rasmi.....
 
tujulishe matokeo ya mwisho duuu kama ni mabaya just keep shut
 
nini hawa tv ya ivory coast wanakatisha pira hapa au ushaishaa grrrrrrrrrrr.
 
Safari yetu kuelekea Brazil imeisha rasmi leo....

Full Time

Taifa Stars 2-4 CIV
 
Tanzania tumetolewa rasmi kwenye kinyang'anyiro hiki na IC wameingia kwenye mtoano.
 
Game over, matokeo ni kama mtabiri wenu mpya nilivyotabiri. Kwishney
 
Timu imecheza vizuri sana, hasa mieldfields & forwards nzuri sana/beki bado sana.
 
Jana nilitazama game la Brazil na Japan kwenye confederetion Cup na ilikuwa ni moja ya reference nzuri kuhusu mpira unachezwa vipi na timu hiyo.

Niliiona Brazil mpya ya sasa ambayo mzee Phillipe Scorari ameiandaa.

Bado Tanzania tuna safari ndefu na kazi ya ziada inatakiwa kufanywa.
 
Back
Top Bottom