goli la pili ni uzembe wa mabeki. hakika timu yetu ya taifa bado ina hitaji maandalizi ya kutosha kuingia kwenye kombe la dunia, tusahau kwanza na ndoto za kwenda brazil tujikite na kuijenga timu yetu kuanzia viungo, mabeki na hata washatumbuliaji, wachezaji wetu wamekuwa wakipunguza hamasa wanapo fungwa na hilo si tatizo la wachezaji tuu hata mashabiki wanao kwenda uwanjani wakiona wamefungwa wananyea yani wanashangilia kwa hamasa wakiona timu yao imefungwa.
safari bado tunayo ndefu kuelekea mashindano ya kombe la dunia nafikiri tujiandae kwa mwaka 2022