Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,484
- 4,826
Tuna tatizo sugu la umaliziaji
Wanajiangushaangusha
na kila mmoja anataka afungu mfano shuti ya Thomas Ulimwengu was suppose to be in angeunganisha moja kwa mojaTuna tatizo sugu la umaliziaji
na kila mmoja anataka afungu mfano shuti ya Thomas Ulimwengu was suppose to be in angeunganisha moja kwa moja
Ngoma imelala hii.....
Kapombe ameshikwa na msuli....Kocha amuingize John Bocco sasa...Toa Thomas Ulimwengu ingiza Bocco