Live Updates: Tanzania Vs Ivory Coast – World Cup Qualification 2014, June 16, 2013

Sub pia hazikuwa za kitaalam,kumtoa Kapombe na Kazimoto na kuingiza wahambuliaji,Mcha na Boko iliiua kabisa midfield ya Stars,kwani Chuji hakuwepo?Kaseja nae anakosea kujipanga na kuipanga ngome yake...
 
sijui kocha wetu huwa anamuita Chuji kwa kazi gani kwenye timu wakati hana mpango wa kumtumia!

Kule ugenini Morocco ndio alikuwa muhimu saana huyo mtu!

Ndio hivyo kocha haingiliwi kwenye maamuzi ila inabidi ashauriwe angalau.
 
Ficha Upumbavu wako, Usiifiche HEKIMA yako mkuu...
Acha kukurupuka na mambo usiyoyaelewa, soccer linawenyewe na wewe si mmojan wao. Sasa kiko wapi kilichokufanya ukaleta kashfa. Kulambwa mmelambwa tena 4-2, uongo? Think big na siyo kutegemea mambo bahati nasibu..! They invested and we did not..!
 
Back
Top Bottom