Kama kawaida kichwa cha nani vile
umakini wa wachezaji pia umetuangusha, anyway we are out!!
Upumbavu upo wapi? Kabla ya mechi nilisema tutafungwa coz kwenye mambo ya msingi wenzetu wapo serious zaidi yetu..! Tatizo letu ni ubishi na kutokukubali ukweli..! Naona wewe ni katika wale mnaoamini mafanikio yanakuja kwa kupiga porojo..!Ficha Upumbavu wako, Usiifiche HEKIMA yako mkuu...
Mwendawazimu.tatizo kila kitu tunaweka siasa za kisanii.roho imeuma mpaka basi:smash:Kama kawaida kichwa cha nani vile