Live Updates: Tanzania Vs Ivory Coast – World Cup Qualification 2014, June 16, 2013

kbm

JF-Expert Member
Oct 5, 2012
5,222
1,667
2014-Worldcup-Tanzania-Ivory-Coast-live.jpg

"Tanzania Vs Ivory Coast – World Cup Qualification CAF 2014, today June 16, 2013 at the National Stadium Dar es Salaam".

Ni leo kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam katika mchezo wa kusaka safari ya Brazil mwaka 2014

Iwapo Stars itamaliza ya kwanza kwenye kundi lake, itaungana na timu nyingine tisa zitakazoongoza makundi mengine, ili kucheza hatua ya mtoano ambako timu tano zitafuzu Kombe la Dunia2014 ‘kutoka nchi za Afrika”.

Ili kusonga mbele, Taifa Stars italazimika kushinda mechi zake zote tatu na kuomba Morocco iifunge Ivory Coast mechi ya mwisho.

===============
UPDATES:
===============

attachment.php

Attachments

  • tz-ic.png
    tz-ic.png
    2.2 KB · Views: 411
  • tz-ic2.png
    tz-ic2.png
    27.6 KB · Views: 214
  • ft-results.jpg
    ft-results.jpg
    52.4 KB · Views: 1,322
Nini maoni yako kuelekea mechi ya leo baina yetu na Ivory Coast.

Pambano litalochezwa saa tisa kamili za mchana kwa saa za Afrika Mashariki ndani ya Uwanja wa Taifa, Dar Es Salaam. Idadi ya watu ni 60,000.

Kutokana na uzoefu na maumbo ya wachezaji wa Ivory Coast hasa upande wa kiungo, ningefurahi sana kama Mwalimu atamuanzisha Chuji kama kiungo mkabaji (mzoefu na mwenye stamina) ili kupambana na kutibua mbinu zote za kina Yaya Toure na wenzie.

Tunahitaji sana ushindi hii leo ili kurejesha matumaini ya kuelekea Brazil 2014.
 
Kila la heri timu ya Taifa. Sababu, nia na Uwezo wa kushinda upo.
 
  • Thanks
Reactions: Izz
Nini maoni yako kuelekea mechi ya leo baina yetu na Ivory Coast.

Pambano litalochezwa saa tisa kamili za mchana kwa saa za Afrika Mashariki ndani ya Uwanja wa Taifa, Dar Es Salaam. Idadi ya watu ni 60,000.

Kutokana na uzoefu na maumbo ya wachezaji wa Ivory Coast hasa upande wa kiungo, ningefurahi sana kama Mwalimu atamuanzisha Chuji kama kiungo mkabaji (mzoefu na mwenye stamina) ili kupambana na kutibua mbinu zote za kina Yaya Toure na wenzie.

Tunahitaji sana ushindi hii leo ili kurejesha matumaini ya kuelekea Brazil 2014.

mchezo hauangali nyamanyama mtu alizonazo,bali ni maujanja kwa wingi,,,,huyo chuji wako ni wakawaida sana
 
Lazima tum-bake mtu pale uwanja wa taifa
Taifa starz go go 2014 brazil
Everything is possible in football
Kwani hao wanaoenda wanani na sisi tusiende
 
mchezo hauangali nyamanyama mtu alizonazo,bali ni maujanja kwa wingi,,,,huyo chuji wako ni wakawaida sana
Kimetah, mimi najivunia timu yetu na ninaheshimu uwezo wa wachezaji wake.

Bila shaka humfahamu Chuji vizuri ndio maana ukathubutu kusema hivyo!
 
Last edited by a moderator:
Nini maoni yako kuelekea mechi ya leo baina yetu na Ivory Coast.

Pambano litalochezwa saa tisa kamili za mchana kwa saa za Afrika Mashariki ndani ya Uwanja wa Taifa, Dar Es Salaam. Idadi ya watu ni 60,000.

Kutokana na uzoefu na maumbo ya wachezaji wa Ivory Coast hasa upande wa kiungo, ningefurahi sana kama Mwalimu atamuanzisha Chuji kama kiungo mkabaji (mzoefu na mwenye stamina) ili kupambana na kutibua mbinu zote za kina Yaya Toure na wenzie.

Tunahitaji sana ushindi hii leo ili kurejesha matumaini ya kuelekea Brazil 2014.

leo cote d'ivore wanapakatwa kiulani balaa..
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom