tumejitahidi, tunahitaji more pros! Impact ya ulimwengu na samagoal nimeifurahia, tatizo la timu yetu ni la kisaikolojia zaid! Otherwise tunaweza!
Tatizo hii mechi imerushwa na TBC kama ingerushwa na chanell
zingine tungeshinda au kutoa sare. Hawa jamaa aah naogopa
kusema hii TV imelaaniwa.
Tumecheza vizuri na vijana wamejituma saana! Wamecheza kwa nguvu zao zoote. Si vizuri mtu akaja hapa kuropoka na kutoa lawama wakati akirushiwa mpira hata danadana 2 hawezi kupiga. Big up Stars!
tumejitahidi, tunahitaji more pros! Impact ya ulimwengu na samagoal nimeifurahia, tatizo la timu yetu ni la kisaikolojia zaid! Otherwise tunaweza!
Una lako jambo weye si hivi hivi! lol[h=5]Dah staki kuamini kama tumeshindwa kumchinja tembo wakati tuliweza kumuweka twiga kwenye ndege dah haya masihara but nyc game[/h]
tumejitahidi, tunahitaji more pros! Impact ya ulimwengu na samagoal nimeifurahia, tatizo la timu yetu ni la kisaikolojia zaid! Otherwise tunaweza!
Timu yetu imeonyesha kiwango kizuri. Ila mwalimu anatakiwa atafute goalkeaper mwingine. Enzi za kaseja zimeshayoyoma. Nimeshangazwa sana na utaratibu mbovu wa kuingia na kutoka kiwanjani leo. Tff na serikali inabidi wawe makini zaidi katika hili. Ni hatari kubwa sana kulazimisha watu 60,000 Kupita katika lango moja kwa wakati mmoja. Tunatafuta ajali za kipuuzi. Mwisho, serikali inatakiwa kutazama upya mpango na matumizi ya maeneo yanayozunguka uwanja wa taifa. Baada ya kuwekeza kwa kiasi kikubwa hivyo katika lile eneo, ni vyema sasa tukaaamua kulifanya kuwa kitovu cha michezo cha hii nchi. Pawe na barabara za hadhi yake, pawe na maduka makubwa ya vifaa vya michezo. Pawe na chuo/shule ya michezo, pawe na hoteli/hostel za michezo. Hata ikibidi kulipa fidia stahiki kwa wamiliki wa viwanja husika ni bora sasa kuliko baadae.