. Dunia ni digital acha ushamba, mbona wewe unapost toka huko kwenu bush tunakusoma dunia nzima in a secondkama hawajajilipua, wamewezaje kurekodi video kwenye tukio la ghafla kama lile???
Kwanini askari alekodiwe?
. Dunia ni digital acha ushamba, mbona wewe unapost toka huko kwenu bush tunakusoma dunia nzima in a secondkama hawajajilipua, wamewezaje kurekodi video kwenye tukio la ghafla kama lile???
Chenye tija ni kiwalipua na kuwaua wananchi wasiokuwa na hatia waliohudhuria mkutano wa CHADEMA.Wakati fulani za kuambiwa changanya na zako.
kama hawajajilipua, wamewezaje kurekodi video kwenye tukio la ghafla kama lile???
Kama kawaida matamko yasiyokuwa na tija kwa taifa ngoja tusubiri.
Nyie mahayawani, mliua Morogoro, mkasema CHADEMA wameua, mkaua Arusha, Mbeya, Igunga na kwingineko na kusingizia CHADEMA. Lakini sasa tunafikiri inteligensia ya CHADEMA imewashika pabaya. Maana taarifa ya Kamhanda baada ya kifo cha Mwangosi ilisema raia walirusha kitu kama bomu ndiyo kikamuua mwangosi. Ushahidi wa video na picha ukawaumbua. Wote mkaufyata. Na hii ya sasa itawaumbua tu. Ni vema dunia Ijue ukweli kuhusu Kikwete na CCM. Mahali popote viongozi dhaifu hutumia njia hii ya mauaji ili kujihakikishia nafasi ya kubaki madarakani.mkuu, hawa jamaa wameishiwa sasa. kila siku wanatoa matamko ambayo hayana lolote zaidi ya kujiumbua kutokana na mipango yao ya kidhalimu
mwaka huu mtajiumbua sana, bado ccm kukua wewe tu ili nafsi yako iamin yatokeayo ni siasa chafu za ccm.
Wote tunajua Kikwete anaaigiza wananchi waliomchaguwa wauwawe kwa kupitia mwigulu,mulongo na polisi akiwa nje ya nchi,kikwete mzururaji na muasisi wa propaganda za kichina kirusi,kipolishi safari hii anaanikwa bwerere
Nyie mahayawani, mliua Morogoro, mkasema CHADEMA wameua, mkaua Arusha, Mbeya, Igunga na kwingineko na kusingizia CHADEMA. Lakini sasa tunafikiri inteligensia ya CHADEMA imewashika pabaya. Maana taarifa ya Kamhanda baada ya kifo cha Mwangosi ilisema raia walirusha kitu kama bomu ndiyo kikamuua mwangosi. Ushahidi wa video na picha ukawaumbua. Wote mkaufyata. Na hii ya sasa itawaumbua tu. Ni vema dunia Ijue ukweli kuhusu Kikwete na CCM. Mahali popote viongozi dhaifu hutumia njia hii ya mauaji ili kujihakikishia nafasi ya kubaki madarakani.
mbona unapindisha mada? Mods kuweni makini, jamvi lazima liwe na heshima yke.Ofsi ya Kupanga nyumba ya mtu,mna peleka wapi ruzuku ya 200milioni kila mwezi nyie wachaga hamuoni aibu ebu jengeni ofsi yenu!
hiyo press conference itaongozwa na nani? tayari mmeshamaliza kuwazika watu wenu mliowaua?
kama hawajajilipua, wamewezaje kurekodi video kwenye tukio la ghafla kama lile???
wanavyosema sayari dunia ina watu 6billion jaribu nawe kujitambulisha miongoni mwa hao!nalaani tukio la kujilipua arusha
Kama kawaida matamko yasiyokuwa na tija kwa taifa ngoja tusubiri.
Kuna watu hawana uchungu na Tanzania na Raia waishio Tanzania Nikianza na mfano halisi wa Ritz sijawahi kujua huyu ni mtu wa aina gani katika jamii yetu nimefatilia mabandiko yake yananichosha kabisa
Anamtaka Rais alihutubie Taifa kwani yeye ni Amiri Jeshi Mkuu na aeleze ni nani aliyemtuma askari huyo kulipua bomu, askari waliotawanya wananchi na askari aliyeficha kifaa cha mlipuaji.
Kama kawaida matamko yasiyokuwa na tija kwa taifa ngoja tusubiri.