Live Updates: Press Conference CHADEMA Makao Makuu Leo tarehe 18/06/2013

Status
Not open for further replies.
mkuu punguza jazba, jenga hoja, matusi hayafai hapa jukwaani.hiyo ni imani yake kuwa mmejilipua, ni vyema umshawishi vinginevyo kuliko kutukana
Tusi jingine: Yeyote asiyejali waliofikwa na maafa au anayewatetea waliotupa bomu au anayedhihaki kuwa ni kujitoa mhanga huyo siyo mtu: Ni cross ya Binadamu na SOKWE!! kama akina Mwigu!
 
Ok, naomba baada ya kikao hiki na vyombo vya habari mtupe tathminini ya wanachama mtakao kuwa mmevuna kuanzia mlipuko wa bomu na leo kutoa tamko. Maana hii biashara umebobea na imefana sana lkn roho za watanzania zinapotea .
 
Ofsi ya Kupanga nyumba ya mtu,mna peleka wapi ruzuku ya 200milioni kila mwezi nyie wachaga hamuoni aibu ebu jengeni ofsi yenu!
kwani ofisi za Lumumba zilijengwa kwa pesa za kabila gani!??
Endeleeni tu kupandikiza chuki kwa kudhani kuwa mlichokwisha iba kinatosha kuwaweka salama pale machafuko yanapotokea but you never know who'll be the first victim!

Akina Njelu Kasaka walileta wazo la serikali tatu miaka 20 iliyopita na kuwekewa mizengwe lakini sasa tunaambiwa lije, miaka yote hiyo imepotea bure!
Tume ya Jaji ilisema mali zote za CCM zirudishwe kwa umma uliokuwa umezichuma na tunaendelea kuchelewa kutekeleza hilo, tukija kuanza utekelezaji ndio 'utaifishaji' mwingine. You wait!!!

 
ingekuwa kina hoja dhaifu kingeshinda dola na sasa kimewagaragaza kwenye uchaguzi mdogo wa madiwani????
uchaguzi gani walioshinda CCM kwenye popular vote wameshindwa ha ha wameshazikwa walichobaki kufanya kuua kuua,lakini wakati umefika wa Kikwete kufungwa pingu akiachwa mpaka 2015 atatuua wote
 
Tamko la CHADEMA huwavuta watu wengi sana kuliko tamko la CCM, kwa nini lkn? There are currently 301 users browsing this thread. (78 members and 223 guests) na hawa 223 wengi ni viongozi wa chama tawala,endeleeni kusikilizia kama mbinu zimegundulika ili mje na mbinu mpya tena
 
Ok, naomba baada ya kikao hiki na vyombo vya habari mtupe tathminini ya wanachama mtakao kuwa mmevuna kuanzia mlipuko wa bomu na leo kutoa tamko. Maana hii biashara umebobea na imefana sana lkn roho za watanzania zinapotea .
Kinana kamaliza kung,oa meno ya tembo nchini sasa anang'oa roho za watanzania eti ndio strategy wameenda china kujifunza
 
ingekuwa kina hoja dhaifu kingeshinda dola na sasa kimewagaragaza kwenye uchaguzi mdogo wa madiwani????
Kati ya vitu ambavyo vimenishangaza sana katika uchaguzi wa madiwani wa mwezi ni namna ambavyo chama kikongwe kama CCM kuisihiwa kabisa sera na kuishia kuwapiga makamanda wa CHADEMA akiwemo mbunge Nassari. Kila mahali kuliko kuwa na uchaguzi kuna makamanda wa CHADEMA wameumizwa na hata kuuawa na Green Gurd. Halafu bila hata aibu CCM kilichoshindwa kufanya siasa za kistaarabu kinaweza kusimama mbele za watu na kujivunia ushindi. Huu ni utaahira uliopilitiliza. Hebu jaribu kupitia zile kura uone tofauti ya kura kati ya CHADEMA na CCM ndipo ujua kwamba mmeshinda kwa narrow escape. 2015 hamkatizi! Labda muamue kuanzisha vita kama mnavyofanya sasa.
 
hapo mr dhaifu alipo anguka video ziltoka wapi?
Hiii ni kali sana, jamaa alianguka kama gunia aka poteza fahamu kwa dakika kadhaa> Mungu ni muweza, pamoja na maaskari kibao wanayo yatumia kuwaweka madarakani walishindwa kumsaidia, na hii ndiyo itakuwa anguko lao kabla ya 2015.
 
stupiid idea....huna akili kabisa kwa hiyo nao cdm walitaka kujiua wenyewe kwa kua bomu halichagui who is who.mvivuvu wa kufikri idiot
 
uchaguzi gani walioshinda CCM kwenye popular vote wameshindwa ha ha wameshazikwa walichobaki kufanya kuua kuua,lakini wakati umefika wa Kikwete kufungwa pingu akiachwa mpaka 2015 atatuua wote
Mkuu tusiende mbali sana. Kwenye uchaguzi wa madiwani uliomalizika, ccm wameshinda viti 16 na chadema viti 6. Hapo chama gani kimepata ridhaa ya kushika dola?
 
Ndugu Wananchi popote mlipo ndani na nje ya nchi yetu tuko hapa ofisi ya CHADEMA Makao Makuu Kinondoni Mtaa wa Ufipa kwa ajili ya kuwaletea Live updates za Mkutano na Waandishi wa Habari ambao unatarajiwa kuanza hivi punde. Tutakuwepo hapa kuwaletea live updates. Stay tuned.


Ningeomba Chama cha Chadema wasiishie tu kutoa tamko ,kwa kuwa jana tulikuwapo ktk kiwanja cha Soweto na mhe Mbowe alisema anao ushahidi wa kutosha na anachokizungumza anakijua ningekiomba chama kikusanye ushahidi wa kutosha na kishauriane na mawakili wenye kupenda haki wakaishitaki nchi chini ya Uongozi wa mh Jakaya Kikwete huko the Hegue Uholanzi kwa shitaka la ugadi..Bila kwenda mbali kidogo hawa watawala wa Afrika watatumaliza wananchi tunaotegemea miguu na mikono yetu ktk kujipatia chochote kitu.Nnasisitiza tena ni bora tukatoka hapa tulipo kwa kuchichukulia hatua zaidi Serikali hii hasa maigizo yanayoendelezwa na watawala wa nchi hii utadhani waliokufa si kitu si lolote.

Nnaomba kumwambia raisi wa nchi hii pamoja na vyombo vyake vya usalama kuwa uhai alionao raisi una thamani sawa na ule wa wahanga wa tukio lile.Kwa mcho yangu nilishuhudia polisi wakielekeza mitutu ya bunduki kwa raia huku wakifyatua risasi,leo tunatengenezewa picha tofauti na Lukuvi?Kwa nini hamtuonei huruma wananchi tunaotaabishwa na ugumu wa maisha bado mnatuua?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom