Live Updates: Press Conference CHADEMA Makao Makuu Leo tarehe 18/06/2013

Status
Not open for further replies.
kama hawajajilipua, wamewezaje kurekodi video kwenye tukio la ghafla kama lile???
. Dunia ni digital acha ushamba, mbona wewe unapost toka huko kwenu bush tunakusoma dunia nzima in a second
Kwanini askari alekodiwe?
 
Chenye tija ni kiwalipua na kuwaua wananchi wasiokuwa na hatia waliohudhuria mkutano wa CHADEMA.Wakati fulani za kuambiwa changanya na zako.

Peleka hii habari polisi watakupa milioni 100.
 
Kuna watu hawana uchungu na Tanzania na Raia waishio Tanzania Nikianza na mfano halisi wa Ritz sijawahi kujua huyu ni mtu wa aina gani katika jamii yetu nimefatilia mabandiko yake yananichosha kabisa
 
Last edited by a moderator:
kama hawajajilipua, wamewezaje kurekodi video kwenye tukio la ghafla kama lile???

Akili matope satelites zinafanya nini chejea intelijensia wewe unadhani wote wananchi waliokuwepo pale ni wadogo zako au ni mama yako wananchi wanalinda nchi yao CCm inaumbuka once and for all
 
mkuu, hawa jamaa wameishiwa sasa. kila siku wanatoa matamko ambayo hayana lolote zaidi ya kujiumbua kutokana na mipango yao ya kidhalimu
Nyie mahayawani, mliua Morogoro, mkasema CHADEMA wameua, mkaua Arusha, Mbeya, Igunga na kwingineko na kusingizia CHADEMA. Lakini sasa tunafikiri inteligensia ya CHADEMA imewashika pabaya. Maana taarifa ya Kamhanda baada ya kifo cha Mwangosi ilisema raia walirusha kitu kama bomu ndiyo kikamuua mwangosi. Ushahidi wa video na picha ukawaumbua. Wote mkaufyata. Na hii ya sasa itawaumbua tu. Ni vema dunia Ijue ukweli kuhusu Kikwete na CCM. Mahali popote viongozi dhaifu hutumia njia hii ya mauaji ili kujihakikishia nafasi ya kubaki madarakani.
 
Anasema haiingii akilini eti Polisi ambao ni Watuhumiwa wakuu eti waunde tume ya kujichunguza wao wenyewe!! Mnyika anasema tume hii ya IGP ni ya kinafiki na inalenga kuficha ukweli. Anasema mtu kama Mngulu na Chagonja ni waongo wa mfululizo katika tume mbalimbali ambazo wamekuwa wakiziongoza. Anashauri badala ya watu hawa kuendelea kupoteza fedha za wananchi. Anasema bomu lile kwa ushuhuda wa Wananchi waliokuwepo uwanjani akiwemo mototo mdogo ni dhahiri liliwalenga Viongozi wa Chama chetu. Anasema Serikali,CCM badala ya kuomboleza na wafiwa wao wanaendesha propaganda. Anasema IGP anapaswa kuambiwa na watanzania wote kwamba wajibike au awawajibishe makamanda wake
 
Wote tunajua Kikwete anaaigiza wananchi waliomchaguwa wauwawe kwa kupitia mwigulu,mulongo na polisi akiwa nje ya nchi,kikwete mzururaji na muasisi wa propaganda za kichina kirusi,kipolishi safari hii anaanikwa bwerere

Wekeni basi hiyo Video hapa ya mauaji arusha au bado mna ifanyia editting ya nguvu
 
Nyie mahayawani, mliua Morogoro, mkasema CHADEMA wameua, mkaua Arusha, Mbeya, Igunga na kwingineko na kusingizia CHADEMA. Lakini sasa tunafikiri inteligensia ya CHADEMA imewashika pabaya. Maana taarifa ya Kamhanda baada ya kifo cha Mwangosi ilisema raia walirusha kitu kama bomu ndiyo kikamuua mwangosi. Ushahidi wa video na picha ukawaumbua. Wote mkaufyata. Na hii ya sasa itawaumbua tu. Ni vema dunia Ijue ukweli kuhusu Kikwete na CCM. Mahali popote viongozi dhaifu hutumia njia hii ya mauaji ili kujihakikishia nafasi ya kubaki madarakani.

kwa pamoja tulaani matukio ya kujilipua kama hili la arusha
 
video na picha walichukua sangapi???hapo ndo penyewe mbichi na mbivu zinajigawa zenyewe hapo??..CHADEMA hii kitu hamkwepi ninyi CHADEMA bomu ni la kwenu
 
Anasema baada ya Maombelezo kuisha ni wakati wa kusema kuwa mauaji yametosha sasa. Anawakumbuka Mwangosi, Mbwana Masoud, Ally Zona, Mbwambo na wengineo kuwa wameuawa na hakuna hatua zozote hivyo wakati wa watu kuendelea kuuawa umekwisha sasa. YATOSHA SASA
 
Kama kawaida matamko yasiyokuwa na tija kwa taifa ngoja tusubiri.

Acha upuuzi wewe,huna ubinadamu kwa binadamu wenzia ndio maana Mr Dhaifu alienda kuangalia academy ya watoto wakati nchini kwake watu wameuawa na siasa mbovu za CCM.Siku is nyingi mtatafuta pa kukimbilia
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom