Live Updates: Press Conference CHADEMA Makao Makuu Leo tarehe 18/06/2013

Status
Not open for further replies.

Mmsapali

Senior Member
Apr 1, 2012
183
195
Nikiitwa kwa hili nitathibitisha, alafu acha kukadiria umri wa watu usiowafahamu una uhakika gani kwamba mimi ni Bwana mdogo wako? mjinga mkubwa wee!!!
kwa jibu lako umedhihilisha kua wewe ni bwana mdogo.
siwezi poteza muda na mtu wa aina yako.
ungekua nao huo uwezo si ungelichukua hatua badala ya kuishia kuandika humu!?
pole mzee.
 

Mvaa Tai

JF-Expert Member
Aug 11, 2009
6,171
2,000
kwa jibu lako umedhihilisha kua wewe ni bwana mdogo.
siwezi poteza muda na mtu wa aina yako.
ungekua nao huo uwezo si ungelichukua hatua badala ya kuishia kuandika humu!?
pole mzee.
Wee mama mbona umeniandama? mara dogo mara mzee hii imekaaje????
 

ben van mike

JF-Expert Member
Aug 27, 2010
467
170
Acheni siasa kwenye amani ya watu TAnzania masikini Mali yetu kubwa tuliyokuwa NAyo ni amani Hapa lazima kuna mtu anachonganisha chadema na ccm ....wamepiga bomu kanisani just in time nchi ilipokuwa na debate ya udini vurugu za mtwara sasa hivi tuna maadui wa nje wengi wametuzunguka kuanzia Malawi m23 rwanda yaaaani balaaa Tupu mbaya zaidi wapo kwenye system afu mabomu yenyewe ya kijeshi yaaani Hapa ilitakiwa vyama vya siasa viweke tofauti pembeni na kumkabili adui kutumia fujo Kama kete ya kupata points za kisiasa haisaidii kitu TISS imeoza Inauma sana watoto kufa kwa ajili ya uzembe wa watu fulani
 

kitambiheshima

JF-Expert Member
May 27, 2013
453
0
chadema you are behind all sorts of violence and killings occurring recently. you have nothing to bewitch us.
 
Status
Not open for further replies.

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom