Live updates: MTVMAMA Awards 2015!

Live updates: MTVMAMA Awards 2015!

Yani Diamond sio muongeaji kabisa ukicompare na maneno au njama mbovu anazofanyiwa huyu kjana ad sometimes nasema anaUvumilivu sana yy ni kazi tu ndio zinatoa majibu" cjawah ona karopoka ujinga zaid ya maneno anayowekewa tu, anajua kujielezea kwenye media sana pia.

kwanza ameambiwa neno gani la kashfa jokate leo?!sijaona neno baya aliloambiwa zaidi ya mtanyooka tu!nashangaa amejiongeza maswali na majibu kibaoo

Anajiuliza mwenyewe,anajijibu mwenyewe,anashangaa mwenyewe na kujionea huruma mwenyewe
 
yaani leo amejua kujitia aibu bora tu angekaa kimya akaendelea na unafiki wake wa chinichini!,siku ile alivyokajimaliza na kijisifia kwamba yeye ni strong woman akiamua kutumia nguvu na uwezo wake kweye ktma,halafu diamond akakaa kimya alijiona anaogopwa au?halafu team chibu tulimuheshimu sana tu,hata baada ya zile tuzo watu hawakumtukana zaidi ya kumuonya tu

Sasa leo nahisi anajiharishia huko mbwa zake yule

Hahahaaa yaani kati ya watu ambao sitakagi kuwachamba ni hiki kidada kinachoitwa kidoti chenye kidoti kama mimi! Kwasababu huwa naheshimu the fact that the dudette huwa anahangaika na maisha yake. Japo unafiki wake ninaufahamu fika!
Ila kwakuwa kakitibua leo lazima tulale nae. Hhahaha ila vichambo vya watu mi sina hamu!
 
Jamani huyu Jokate amefanyaje? Naomba kujurishwa maana sikuwa karibu na social network wiki hii kutokana na majukumu. Naomba summary.
 
Kabisaa!ukipitia post zote za diamond kwenye page yake ya Insta hakuna hata picha moja ya Wema!katika madame zake wote kuna picha ya jokate tuu tena ziko kama tano hivii,kuonyesha jinsi gani hanachuki nae.

Sasa jojo akajifanya nayeye utoto wa mjini anauweza wakati hauwezi kabisaa!!ye zake ujasiriamali na kukusanya fedha basiii!!

Jokate aliheshimiwa lakini yeye mwenyewe amechoka kuheshimiwa sooo ngoja apewe anachokitaka

jokate ndio kachemsha zaidi mbrlaz eti kadai kideo cha mwaka jana ligazeti lake limejaa wivu, bikra wa kisukuma kamshushua ni ya Feb mwaka huu, alikuwa anajigonga kwa Chibu kupitia watu naona yupo bizi na Zari alichuniwa as hakumrusha kwenye insta yake. akasubiri wee Chibu harushi ndio akaamua kukimbilia kuonyesha yeye bingwa wa kuomba asipigiwe kura na kuongea kwenye redio eti yeye kafanya akose za ktma na picha wakapiga na wema...naniii na mahaba hawayaoni kwa wengine. sasa kapatikana chezea Chibu na akili mingi kumbe aliiweka kideo. mume wa Zari huyoooooooo.
akome na analo

na kuna walio mtafuta Chibu juzi na meseji sema Zari hajawaanika tu
 
Chezea acheni diamond ajichetue kwani vipi! Kama kuna mtu alikuwa na uwezo wa kuku support lakini hakufanya hivyo halafu mwisho wa siku ukafanikiwa bila support yake how big you will jichetua?
#hiyo #inaitwa #ombea #adui #yako # aishi# siku #nyingi

Kuna mmoja kaambiwa na bado mtanyooka...anatokwa na povu balaa😀😀
 
Hahahaaa yaani kati ya watu ambao sitakagi kuwachamba ni hiki kidada kinachoitwa kidoti chenye kidoti kama mimi! Kwasababu huwa naheshimu the fact that the dudette huwa anahangaika na maisha yake. Japo unafiki wake ninaufahamu fika!
Ila kwakuwa kakitibua leo lazima tulale nae. Hhahaha ila vichambo vya watu mi sina hamu!

Hata mimi nilikua namrespect sana jokate!ila alivyoanza uozo wake wa fitina na majungu nikamdharau,leo ndio nimetukana kabisaaaaa tena sana tu maana kashanichosha na unafiki wake,anajifanya anamuiga wema wakati wema yule kichaaa kilishakolea kichwani!!

Jokate hajui kama yeye ni mfanya biashara na anatakiwa asionyeshe ushabiki sana kwenye mambo ya muziki,itakuja kumcost siku moha kibiashara haya mambo yake ya kitoto anayoyafanya!!
 
Hahahaaa yaani kati ya watu ambao sitakagi kuwachamba ni hiki kidada kinachoitwa kidoti chenye kidoti kama mimi! Kwasababu huwa naheshimu the fact that the dudette huwa anahangaika na maisha yake. Japo unafiki wake ninaufahamu fika!
Ila kwakuwa kakitibua leo lazima tulale nae. Hhahaha ila vichambo vya watu mi sina hamu!

huyo leo analo wivu wa mahaba umemjaaaaaa anamtamani Chibul leo mmmh anamalizwa insta
 
Hahahaaa nimepitwa uwiiiiiiiii kumbe mambo matamu hivyo? Romy ndo kajibu hivyo 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

Hahaaaaa anakwambia its too late to apologize sisterii hahaaa napendaga macaption ya Tommy hatari
 
Hahahaaa nimecheka Romy alivyojibu jamani! Eti huyo kidoti anamuuliza Babu tale hadi wewe? Kwani Vepeeee ye alitakaje? Afanye unafiki afu tumchekee au? Hapa za Uso tu kwa kwenda mbele ukimind tembea uchi kama Shardcole.

Huyu shardcole tunamsubiria toka mrn hapiti anatufanya sisi mashababi kua kma kk tunauza sura hpa.....wa2 wana hamna nae mwambie afanye hima
 
Last edited by a moderator:
jokate ndio kachemsha zaidi mbrlaz eti kadai kideo cha mwaka jana ligazeti lake limejaa wivu, bikra wa kisukuma kamshushua ni ya Feb mwaka huu, alikuwa anajigonga kwa Chibu kupitia watu naona yupo bizi na Zari alichuniwa as hakumrusha kwenye insta yake. akasubiri wee Chibu harushi ndio akaamua kukimbilia kuonyesha yeye bingwa wa kuomba asipigiwe kura na kuongea kwenye redio eti yeye kafanya akose za ktma na picha wakapiga na wema...naniii na mahaba hawayaoni kwa wengine. sasa kapatikana chezea Chibu na akili mingi kumbe aliiweka kideo. mume wa Zari huyoooooooo.
akome na analo

na kuna walio mtafuta Chibu juzi na meseji sema Zari hajawaanika tu

Ahahahahahahahh usniambieeee???!mbona umbea raha jamaniiii!kila siku nasema mimi kama mwanaume unampenda basi mvumilie usimuache mpaka uachwe!Ukimuacha mtu wakati unampenda ni kujipa mzigo wa mawazo na pressure hasa akipata mkali zaidi yako.

Ameumbuka leo jamani mtoto wa watu
 
jokate ndio kachemsha zaidi mbrlaz eti kadai kideo cha mwaka jana ligazeti lake limejaa wivu, bikra wa kisukuma kamshushua ni ya Feb mwaka huu, alikuwa anajigonga kwa Chibu kupitia watu naona yupo bizi na Zari alichuniwa as hakumrusha kwenye insta yake. akasubiri wee Chibu harushi ndio akaamua kukimbilia kuonyesha yeye bingwa wa kuomba asipigiwe kura na kuongea kwenye redio eti yeye kafanya akose za ktma na picha wakapiga na wema...naniii na mahaba hawayaoni kwa wengine. sasa kapatikana chezea Chibu na akili mingi kumbe aliiweka kideo. mume wa Zari huyoooooooo.
akome na analo

na kuna walio mtafuta Chibu juzi na meseji sema Zari hajawaanika tu

Pongezi nyingi kwako hutetereki n maneno y timu wajane.....kma namuona pale singida anakunywa zanzi kwa fujo kupunguza stress
 
Back
Top Bottom