Kimbley
JF-Expert Member
- Apr 8, 2015
- 3,050
- 2,104
Mnh! haya mambo haya!!Pamoja na jitihada za kutenegenza pilau kwa ajili ya kusherehekea Eid, wanakuja kushituka, salaleh....View attachment 269382 View attachment 269383View attachment 269384 yaani haliliki, wala halionjeki!!!!
Ahahahahhhhahhhhhaaaaaaaaa lilipikwa biriani na wakavuaa makanzu na baraghashia juuu!!
Mwisho wa siku eid imeingia mdudu