binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 13,115
- 34,410
Usishangae mtu kama huyu kuwa masikini!
Kama Dibanj na Don Jazz pia hata Diamond alionesha umoja na ushirikiano alipopatana na Producer wake wa kwanza Bob Junior pia na Kusolve tatzo lake na Manek. Pia msanii akienda international sana unavyofikiria ww kama Dbanj alivyopata management ya Kanye West GoodMusic ilimpa jina kwa mda mfupi na ikamtupa wakat alishaanza kuConcentrate na Soko la nje. Thn kilichofata mziki wake ulishuka coz alikua anatoa nyimbo nigeria wanasema hz not Nigeria now wanigeria walimdiss sana Dbanj thn akarud nigeria kwa DonJazz nw thy r cool. Haina haja ya msanii wa Africa kuhitaj sana kujulikana American au Europe na wazungu cc tu inatosha labda wapende hvo hvo no need of international management wala nini. Kuhusu kusema cdhani kama Mondi ashawah kusema kitu cha kuaibisha Taifa zaid ya kulipaisha tu.
Mhhhhhhhhhhhh the second paragraph unamshauri diamond au wasanii wengine?
Haya sasa kifesi nae katoa ya moyoni teheeeeView attachment 269462View attachment 269463
Haya sasa kifesi nae katoa ya moyoni teheeeeView attachment 269462View attachment 269463
I get where you're coming from Chief. By management ya kimataifa sijamaanisha wazungu au watu kutoka nje, bali watu wenye ujuzi wa kimataifa watakaomsimamia yeye kwa ujumla, na sio tu muziki wake, kwa sababu kashakuwa brand sasa, kila move anayofanya katika maisha yake kiujumla ina madhara(mazuri au mabaya) kwake na kwa taifa. He needs somebody to monitor and guide him.
Jamaa angekuwa na management inayojielewa, issue kama anayoilalamikia Jokate isingekuwepo kabisa, ni lose-lose situation kwake. Huu haukuwa muda wa kuwatambishia wabaya wake, bali kuwavuta upande wake cuz kazi ndio kwanza inaanza. Nawajua watu wa maana sana ambao hawana habari kabisa na huo muziki ila walipiga kura kiuzalendo cuz ushindi ni wa taifa, m'dingi wangu mmoja wapo, sasa akija kusikia jamaa analeta pozi za ajabu baada ya ushindi, wala hatajisumbua next time.
Ukisema hatuhitaji kufahamika au kukubalika nje ya bara la Africa nakuwa sikusomi mtu mzima. Tulitoka Channel O, tumefika MAMA's, sasa ni kwenda Bet na kubeba pia, tukitoka hapo twende mpaka Grammy's. Kama Nigerians wanapiga kazi na kina Drake, kwanini sisi tusiwe na verse ya J. Cole kwenye ngoma yetu, or even better, let's have Justin Timberlake kabisa, why not?! Tuanze kupiga shows za maana huko nje. Tukiridhika hapa, ndio yatatokea yale tuliyofanya mwanzo kwa kujiachia kisa Kellz anatukubali.
halfu unajua hiyo post yake ya pili ya kwamba tunadhalilishwa mbele ya wageni niliitoa mimi humu ndani?kifesi ameiba maneno yangu mengi na kuyaedit kidogo tu
Point yako ya msingi ni ipi kaka! Kwani diamond kamuua nani? Unazijua nyodo za davido? Za nick minaj je?
Ukiamua ku support mziki wake do it hutaki pita kimya kimya!
Ukiaccept a fact that kila mtu ana moyo wa Nyama utaacha kulia lia.
Kama tatizo ni nyodo, tafuta msanii asiye na nyodo umsupport afike level za international! Kwani nini buanaa si nini tu!
In short leo team #WCB leo tuna korasi moja inayofanana, hata hayo maneno ya "alete unafiki halafu tumchekee" hata mi niliyaandika humu😂😂😂
Hata mi huwa siwaelewi.Nyodo anazo Birdman aliyenunua choo cha dhahabu.
hahaha ....siamini
Point yako ya msingi ni ipi kaka! Kwani diamond kamuua nani? Unazijua nyodo za davido? Za nick minaj je?
Ukiamua ku support mziki wake do it hutaki pita kimya kimya!
Ukiaccept a fact that kila mtu ana moyo wa Nyama utaacha kulia lia.
Kama tatizo ni nyodo, tafuta msanii asiye na nyodo umsupport afike level za international! Kwani nini buanaa si nini tu!
hapana mkuu,hii ni habari ya kweli kabisa na haina ushabiki